Nina double life

Sina tatizo la kupoteza kumbukumbu. Lakini nitaenda google kusoma hiyo disorder uliyosema nilinganishe
 
Hapa nakumbuka nilichoota usiku, ambapo niliota yale maisha ya series iliyoanza tangu 2010. Jana ndotoni tulikuwa na kikao cha pre-audit, wamekuja auditors wawili wahindi na mmoja mswahili.
Ok, kule(ndotoni) kalenda inasema ni mwaka gani na una umri mkubwa au mdogo kulinganisha na huku(duniani)?
 
Ok, kule(ndotoni) kalenda inasema ni mwaka gani na una umri mkubwa au mdogo kulinganisha na huku(duniani)?
Kule ndotoni nina umri mdogo 36 years na nina mtoto mwenye umri wa miaka 8. Huku ni mtu mzima zaidi over 50 na nina familia ya 4 adult children
 
Sina tatizo la kupoteza kumbukumbu. Lakini nitaenda google kusoma hiyo disorder uliyosema nilinganishe
Nimeisoma hiyo kwenye google sasa hivi na nimeona haifanani hata kidogo na hii series yangu ya kwenye ndoto.
 
Kule ndotoni nina umri mdogo 36 years na nina mtoto mwenye umri wa miaka 8. Huku ni mtu mzima zaidi over 50 na nina familia ya 4 adult children
Ok fine, nataka kujua kalenda kule inasemaje... Then tutaendelea hapo kwa maswali mpaka 'njia' itajulikana.
 
Ok fine, nataka kujua kalenda kule inasemaje... Then tutaendelea hapo kwa maswali mpaka 'njia' itajulikana.
Cha kushangaza nikizinduka ndotoni mojawapo ya detail inayopotea ni hiyo ya kalenda. Kingine kinachopotea ni matukio yanayoripotiwa kwenye TV na redio kuhusu siasa, uongozi wa nchi na hata jina la sehemu hiyo mitaa nk, hayo nikiamka yanapotea kwenye kumbukumbu.
 
Alafu kwani usiku hushtukagi hata kwenda haja ndogo hv,vipi ukiwa safarini una drive bila kulala au msibani? Je? Mkeo unakutana nae kimwili saa ngapi? Maana inaonesha ukilala umelala kwani akuhamshagi au kukushtua kama saa 8 hv au sita, response yako inakuaje? Je? Uliwah kumsimulia mke au wazazi wako Hilo tukio? Je? Walikushaur nini?.
 
That's why nasema hiyo sio hilo tatizo wanaloliongelea baaddhi ya member... Binafsi naiona 'silaha' na sio tatizo.
 
Mke wako wa ndotoni na wa maisha halisi yupi mkali?
 
Ok mkuu nimekuelewa unachokisema na hiyo concept nilipata kuifahamu. Ila kwa case ya Ralph Tyler ikowazi kuwa ni tofauti, maana angekuwa na hilo tatizo watu wa kwanza kuweza kulitambua ni watu wake wa karibu haswa mke wake ambae anaishi nae muda mrefu.

Kwa case yake, yeye anatambua kabisa kinachokwenda kutokea na sio kwamba inatokea kama jambo la kushtukiza au labda matokeo ya kusahau. Anatambua kabisa kuwa akilala basi ataamka kwenye dunia yake nyingine.

Binafsi kuna jambo ninalihisi ingawa siwezi kutoa conclusion ya moja kwa moja, that's why nimemwambia twende nayo kwa njia ya maswali mwisho tutapata jibu.
 
Mkuu hauna disorder yoyote...sio MPD au chochote kinachoendelea kwenye maisha yako ni bahati kubwa sana na wanayo watu wachache

Unaishi kwenye dimension mbili tofauti...kwa wakati mmoja ambayo huwa hairuhusiwi au sio rahisi..unaishi kwenye future ndotoni na unaishi maisha ya sasa hv in reality..

Dimension huwa haziingiliani mpaka ufe ndio unaenda kwenye dimension nyingine..zako unaziishi kwa wakati mmoja

Ushauri kuna watu wanafanya utafiti kuhusu dimensions na time travel watafute nafkiri utakua tajiri kabisa, kingine from today pay attention sana kwenye ndoto inaonekana technology inayotumika ni cutting edge...jaribu kuchukua maarifa uyalete kwenye maisha ya kawaida pay attention

Swiss nafkiri na sweden wanafanya sana tafiti pia soma online kuhusu dimensions uko gifted
 
Atleast wewe umeona kitu hapo

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 

Kwenye hiyo ofisi ya kuuza pikipiki ndio kuna hiyo computer ?!
 
Hichi ndio nilikuwa nakifikiria ingawa sikutaka kutoa conclusion yangu kwasababu sio rahisi kuweza kuishi kwenye dimensions zaidi ya moja at a go, huwa ni nadra sana kutokea kitu kama hicho.

Nikipata muda nitaelezea vizuri nilivyoweza kuitambua hiyo concept kwa upande wangu.
 
Inashangaza mpka leo hujapata majibu sahihi?

Wapo wanaokubeza, wapo wanaotukana kuwa ni bangi, wapo wanaopuuza,pia wapp mpka wanao toa ushauri wa kijinga, bila kuwasahau wale wanaojitahidi kutoa mashauri yanayomake sense.

note:- jaribu kukumbuka hiyo ndoto yako ilianza vipi, yaan namaanisha, mazingira yapi, wahusika wapi, matukio yapi, inshort kumbuka mwanzo mzima wa hii ndoto yako then leta mrejesho.

kwa mujibu wa ndoto yako inaweza pia kuonesha nafsi yako na utu wako wa ndani, unaishi sehem mbili, hii ni kawaida, japokuwa utofaut na sisi wengine ni kuwa tunapopata ndoto kama za kwako huwa hazina miendelezo

Mfano sisi wengine huweza kuota ndoto fulan na ktk hiyo ndoto unajikuta unapata kumbukumbu za mambo ambayo uliwai yafanya ktk ulimwengu wa hiyo ndoto, pia matukio na wahusika wa hiyo ndoto unawakumbuka, chaajabu tu ndoto hizi huwa hazina miendelezo.

Sasa kwakuwa wew mwaka wa12 huu bado unapata hiyo ndoto, inaonesha usiriaz mkubwa upo na unatakiaa kuufanyia kazi ,or otherwise utakuja kuchelewa mambo.

Ndoto yako ina mambo makuu 2 ambayo moja wapo ni lakweli.

1). Maana ya kwanza
Huwenda hiyo ndoto unayoiota ni matukio ya maisha yako yalivyotakiwa kuwa, ama hayo matukio ni kivuli cha maisha yako yalivyotakiwa kuwa, na huwez kuyapitia maana in real world(dunian) umepitia maisha tofauti na umri wako hauwez kuakisi kuwa hayo maisha utayapitia lkn ilitakiwa yafanane na hayo ya uko.

Ktk ndoto kuna tafsiri nyingi, ,kutokana na mazingira ya ndoto

Mfano nafsi yako ikisafiri na kwenda in FUTURE basi ndoto zako zitaweza kuwa na matukio yanayoshahabiana na ya sasa utofaut wake ni mazingira/mandhari na wahusika wa Nyakati hizo pia vifaa, na kyzitafsiri ndoto hizi huwa ngumu maana kwa nyakat tulizo nazo hatujabahatika kuyajua yajayo hivyo hata vifaa vya nyakati hizo hatuvijui lkn tunaweza kupredict, mfano ulivyosema kuna computer mpapaso ya kioo kwa nyakat zetu tunaweza kutafsiri kulingana na technolojia yetu, lkn kuna undani zaid.

Pia nafsi yako inaweza kusafiri ktk nyakati zilizopita na hapa huwa rahisi kutafsiri maana mazingira ya ndoto hufaamika, mybe wahusika itakuwa vgumu kwakuwa ndoto hubeba characters tofauti na hawa wa real world, na kwa mujibu wa ndoto yako inaonesha ni Future period, ndiomaana kuna mazingira na vitendea kaz vya kisasa na utofauti.

2) Maana ya 2 na ya Mwisho
Nilikuomba ukumbuke mwanzo wa ndoto kuanzia wahusika mpka mazingira ili tujue chanzo cha ndoto yako, na nina kukumbusha kuwa, hii dunia ina siri kubwa, ambazo wengi hatuzijui na kwa bahat mbaya hatufundishwi haya mambo kwa upana.

Ulimwengu una viumbe wengi tofaut na sisi viumbe wa dunian, na kitu pekee ambacho sisi watu wa dunia hii tunaweza kushare uwepo wetu na viumbe wengine ni kupitia roho/nafsi zetu tu.

Sasa kwakuwa viumbe hao uishi nje ya nadharia ya maisha ya dunia hivyo kuingia ktk dimension waliopo wao ni kupitia roho zetu, na kuingia ktk ulimwengu huo inakuhitaji kuswitch OFF akili na ufahamu wa dunia hii na kuiruhusu ROHO/NAFSI yako kuamka na kuwa active ktk ulimwengu huo,

na kuna njia nyingi za kuswitch Off ufaham wa mwil wa kidunia, mfano, kulala ambapo akili na ufaham huwa off na roho kuwa active, pia kupitia sleep palalyse(meditation/opening third eye chakra) na mengineyo ni aina za kuswitch Off ufaham wa akili ya kidunia.

Unatakiwa ujuwe pia nafsi,roho na mwili(akili+ufaham wa dunia) huwa na kumbukumbu zake, na ufaham wa kidunia kumbukumbu zake zipo kichwan na muonekano wake ni mwili, vivyo hivyo kwa nafsi na roho zina akili zao na kumbukumbu zao na mionekano yao ambayo haina tofauti na uo wako.

Nikirudi ktk ndoto yako, nilitaka kumaanisha kuwa kama ungekumbuka chanzo cha ndoto yako ningeweza ku conclude kuwa huwenda uliwai fanya mafungamano na baadhi ya kiumbe wasio wa dunia hii, na hatima yake roho yako ama nafsi yako iliweza kushikiliwa ktk kingdom ya viumbe hao kwa kufanya makazi nao kwa kuishi pamoja na kutengeneza family, na huenda mafungamano haya yalitokea kwa matakwa yako ama bahat mbaya ndiomaana nauliza chanzo.

Viumbe hawa huwa na maajabu mengi sana na ndio hawa hawa wenye majina tofauti tofauti wawaitayo dunian, ambao hawa wote ni mapepo.

Madhara huwez yaona kama ulikubalika ktl kingdom hiyo, lkn mwisho wako utakuja kuutambua ukweli, viumbe hao wanapenda kufanya makutano na binadamu/watu, lkn kwa bahat mbaya hawana miili ya kuwaruhusu kuweza kushare mionekano ya kidunia that's why hupenda kufoji mionekano ya kiroho kujihusisha na roho yako ktk ulimwengu wa roho(ndoto), na kamwe huwez kutambua kalenda ya nyakat za ulimwengu wa roho/ndoto maana huko hakuna MUDA wala hakuna ukomo lkn kuna maisha ya kawaida ambayo unaweza kuyatafsiri kulingana na akili yako itakavyotaka uwaze.

Mfano ukiwa kule ukaishikia kalenda hutoona kitu ama unaweza kuona ni mwaka 2100 at the same time ukastuka huamini maana dunian ni 2022, ukija kutazama tena kalenda utaona ni 2001, unajua kwa nini? Kwa sababu kule hakuna Limitation yoyote ya muda, umri, wala maisha, pia inawezekana kule ukawa na muonekano wowote uutakao, believe me kama ukijitambua ktk ndoto hiyo basi utakuwa ndiye controller wa ulimwengu huo maana wew ndye final character ambaye unaweza fanya lolote utakalo,including kuharibu/kutengeneza lolote utakalo, na utaweza kufanya haya endapo tu utajitambua ktk ndoto hizo na kuforce ufaham wako wa dunia uingilie faham za ndoton na kuweza kucontro matukio yoyote ktk ndoto, hata ukitaka uwe rais huko utaweza, ama mtuhumiwa utaweza, ijapokuwa utakuwa unaweza hata kupambana na wahusika wa huko wasiweze kukudhuru maana nguvu na uwezo upo ndani yako mwenyewe FINAL CHARACTER..

Hitimisho
uwezo wa kufanya lolote ni juu yako, hata ukitaka usiote tena inawezekana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…