Nina double life

Mkemee shetani wewe acha kujidanganya mana siku ukiora unaliwa voda sijui utatuambia?
 
Labda unaishi kwenye "simulation". Wataalam wa artificial intelligence wanatabiri siku zijazo watu wataishi katika virtual reality iliyokuwa simulated kwa kompyuta. Pengine umetangulia...
 
Chunga usije ukaota unakunya, alafu ukiamka ukute kimba kwa bed....
Miushauri wangu ni huo tu.
Yote hayo huwa naota. Naoga, naongea, nacheza, naogelea, nafanya mikutano, naenda supermarket kununua vitu, yote hayo ndotoni. Na nikiamka nakuta kila kitu nilipolala kipo shwari na mke wangu yuko kando yangu kama kawaida.
 
Yote hayo huwa naota. Naoga, naongea, nacheza, naogelea, nafanya mikutano, naenda supermarket kununua vitu, yote hayo ndotoni. Na nikiamka nakuta kila kitu nilipolala kipo shwari na mke wangu yuko kando yangu kama kawaida.
Hongera sana mkuu, basi weendelea tu kula bata ndotoni kwasababu hakuna madhara
 
Hata mimi nilielewa hivyo kumbe ni tofauti kabisa na kichwa cha habari 🙂
Asante kwa sahihisho. Sasa sijui tuiiteje, ni double life ya ndotoni. Au ni nini? Lakini ninavyoona watu hawa wawili ni tofauti. Kule ndotoni ni kijana wa 30's wakati hapa nilishakula chumvi miongo mitano!
 
Ngoja nipige kiti moto na funda kadhaa za bia ziwezi kukosa ushauri kamwe
 
Hapa nanusa dalili za mental illness mkuu
Sina hiyo kitu. Hata kama sijijui, ningeshasikia hata angalao fununu kwa watu kuwa nina abnormal behaviour fulani. Wagonjwa wa akili wanafahamika hata kwa tabia zao tu, licha ya wale wanaotibiwa hospitalini.
 
Haahaaa mi mwenyewe nilidhani ana mke na mchepuko hawajuani kumbe ndotoni
Dah
Nina wake wawili na two homes. Moja ya real life hii hapa na nyingine ya ndotoni. Na zote naziishi kwa kulala. Nikilala huku naamkia kule, na nikilala kule naamkia huku. Lakini si kwamba huwa silali, no, ninapoamka najisikia fresh kabisa kwamba nimepumzika vya kutosha usingizini na yaliyotokea ni ndoto tu.
 
Story ulikuwa umejitahidi kuiandika vizuri, ila hapa ndo umeiharibu.

Mara nyingine uwe unajaribu kuirudia story kwa kuvaa viatu vya hadhira kabla hujaipost.
Elewa tu kuwa ninapokuwa huku ni ndoto ya kule, na nikiwa kule ni ndoto ya huku. Kwahiyo maisha yote ni ndoto.
 
Labda unaishi kwenye "simulation". Wataalam wa artificial intelligence wanatabiri siku zijazo watu wataishi katika virtual reality iliyokuwa simulated kwa kompyuta. Pengine umetangulia...
Ngoja niingie google nifananishe. Asante kwa hint.
 
Pole sana...

Jaribu kubadilisha godoro unalolalia...


Cc: mahondaw
Popote ninapolala lazima iendelee. Tangu 2010 hadi leo. Nilishalala mahotelini mara nyingi hadi nje ya nchi. Hata nikilala kwa ndugu zangu mikoani ninapowatembelea.
 
Naomba kwenye hiyo life ya ndotoni ugombee ujiwe ili jiwe hili lililopo lisiendelee kutunyoosha..!
 

Mwalimu C.Mwakasege ana mafundisho mengi kuhusu ndoto, na ameandika vitabu juu ya Ndoto. Tafuta kitabu chake usome, au ingia Youtube kufuatilia mafundisho yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…