Diploma miaka motatu Electrical Engineering ukimaliza unakua Full Technician (FTC) ukipata gpa 3.0 unaweza unga degree ukasoma kozi yeyote unayotaka ya engineering ila am telling huwez kosa kazi ila kipindi unasoma iyo kozi ukiskia short course zile za d.i.t km refregeration soma zinasaidia sana kozi ya refrigeration haifundishwi d.i.t kwa sababu mechanical engineer wanafundishwa ila hawaji ifanyia practical manake ni module tu yakawaida ila moja ya course marketable kwa sasa si kwamba mafundi hawapo wa refrigeration wapo ila shule changamoto wengi veta sana sana ila ukitulia moja ya soma zuri sana kutoboa niko kwenye hiyo industry naona gepu japo professional yangu Electrical engineering kwa sasa am doing Refrugeration patamu sana huku