4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,304
- 12,955
Shida vyuo vya bongo haviko serous, Elon Musk wenda kasoma iyo, ila swali ni vyuo vya Bongo ambavyo kijana anamaliza chuo na fikra tu ,Course nzuri sana ,sema perception Kwa hapa Bongo ,watu hawaelewi applications za hii course ,hii course inalenga kutoa watafiti ,wavumbuzi na wabunifu wa technology .
Elon Musk mwenyewe ana degree ya Physics ,hebu niambie ,mnakionaje kile kichwa na mambo kinachoyafanya ?
Ukisoma hii course kuwa na vision huko mbele ya kufungua hata tech startup yako