Nina dhambi sana

Nina dhambi sana

Kipi?..fafanua!....wanaojifanyaga wajuba kwa mademu kumbeee...hamna kitu.
 
Usje kushangaa na mwanao akafanyiwa, omba msamaha kwa mola wko na usirejee tena
 
unapofanya dhambi unaanza kumkosea Mungu Kabla hata ya hao wadada Mkuu.
Yajenge na Mungu wako, kisha badilika, maisha ni mafupi kuishi kwa wasiwasi na hatia za makosa yanayosameheka.
 
Wahi kituo cha afya chochote kilicho karibu nawe mkuu kila lakheri.
 
Back
Top Bottom