mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 94
- Thread starter
- #21
Sana af unaambiwa jiajiri komaa hata na gengeInauma sana mkuu, yaani chuo tumekomaa na mamechanics...cosine, sine,, tan alafu unakuja mtaan unaambiwa ukaguzi wa vyeti unaendelea duuh!!!
Ukiwa unangoja responce pitia hizi threads!!
ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla
Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!
Inasikitisha