mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 94
Husika na kichwa cha habari,
Mimi ni graduate wa Bs. In engineering geology nipo tayari kuvolunteer kwenye kampuni au consultant firm yoyote ili niweze kupata experience.
Nipo tayari kufanya kazi kampuni yoyote na mkoa wowote ndani na nje ya nchi.
Nawasilisha wakuu