Nina cheti cha VETA-pishi la kuku

sio good reason bwana ni lesson ...au nije tupike wote? umoja ni nguvu si unajua/ teh

wow thanks for correction,si unajua tena hata dictionary sometimes inakosea kdg lol,it will be my pleasure,if u join me,but uje na kuku wawili thawa,as u said
 
Umejuaje kama ugonjwa wangu ni 'kyukyu'??

Ila napenda wa kienyeji bana.
kuku wa kienyeji hadi uweke spices kibao ndio atakuwa poa but with this other type sio lazima sana ukoleze viungio, inakamata tu poa
 
nawaonena raha sana wenye kupenda kula vikaango ivi,mie ata sijui huu mwili unashida gani,,,hamu sina yani nikila sana basi chukuchuku za nyanya chungu,bamia,hoho karot,bilinganya dagaa kidogoo nikila na ugali ivi

labda mboga ya kwetu mkunun'gu tu ndo siku iyo sherehe
 
Asante Smile ila maziwa na Karanga kwa Pamoja ..ingawa menu inaonekana iko baabarani
 
Last edited by a moderator:
NGOJA NIWAPE HILI...NILIPIKA JPILI.
msinilaumu mimi napenda kuku bana .. so leo nitawafunza jinsi ya kuitengeza. ni rahisi sana na auhitaji kuwa mpishi mtaalam wa kupika na ni poa sana ukimuandalia hasaa umpendae au familia na marafiki kwa jumla.
mahitaji
KUKU MZIMA WA KIZUNGU
TANGAWIZI MOJA KUBWA
VITUNGUU VIWILI VIKUBWA NYEUPE
KITUNGUU SAUMU
KARANGA - vijiko vitatu vyikubwa kile cha kulia ..teh usije weka cha kusevia ..loh!
MAZIWA NUSU KIKOMBE
NYANYA MBILI KUBWA
YAI MOJA LILILO CHEMSHWA
CHICKEN CUBE 1.
GARAM MASALA KIJIKO KIMOJA KIDOGO
MAFUTA YA MAJI YA KUPIKIA
procedure
kata kata vitunguu saumu, tangawizi, vititunguu maji na karanga, weka ndani ya kinu kisha twanga hadi utengeze thick paste na ziingiliane kuwa mchanganyiko mmoja

weka mafuta nusu kikombe kwenye sufuria kisha injika motoni hadi ipate moto kiasi kisha weka mchanganyiko wako wa vitungu na koroga huku ukiongezea maziwa kidogo kidogo hadi iive na kuwa rangi kama golden brown

chukua nyama yako ya kuku kisha weka ndani ya mkaango wako wa vitungu endelea kukoroga hadi nazo pia ziwe brown ya kungaa ngaa
baada ya hapo weka nyanya, garam masala, chicken cube, na chumvi kisha endelea kukoroga hadi mix ikauke kabisa na kuwa nzitoo!!
ongezea maji ya moto vikombe viwili kisha punguza moto, funika wacha itokote pole pole hadi nyama iive na kuwa laini. mchuzi wake pia utakuwa ni mzito kweli
baada ya chakula kuiva. kata kata yai laki slices nyembamba kisha kwenye bakuli unalopakulia kitoeo chako, changanyia humo humo kisha peleka mezani tayari kwa kula. inateremka poa ukila na chapati, ubweche- rice, ugali au mapotatoes..

ukishindwa ni pm wekend tugonge vitu! uje na kuku wako tu wawili maana mi mmoja hanitoshi loh!

Naomba uje kwangu unipikie hayo makitu nipe gharama zake nikulipe kabisaaa:wink:
 
kama mapishi yenyewe ndiyo haya, Talaka naiona ileeeeeeee
 
jana mie nilipiga ugali na dagaa na uyoga.

nilitayarisha dagaa wangu kiasi cha kujaza kikombe cha magi.
uyoga uliokaushwa, nyanya moja, kitunguu, mafuta olive, ndimu au limao, bamia, chunvi, karoti, thom, hoho,pilipili manga na soya sauce.

Nilianza kuweka mafuta na dagaa, ndimu, kitunguu thom,pilipili na kufunika kama dk.3 kisha nikaweka soya sauce vilipoanza kujikaanga nikaweka nyanya vilipochanganyika vizuri nikaweka uyoga nikakaanga vilipokaribia kuiva nikaweka kitunguu, bamia nikfunika ili bamia iive kidogo kisha nikamalizia na karoti na hoho. Pishi hili halina supu ni kavu kiaina.

kisha ugali: maji nikakoroga uji kwa sembe ulipoifa nikatia unga wa mhogo nikasonga, nikaivisha. mlo tayari.

Andaa meza. Mwenzenu napenda sana dagaa tena waliopikwa kiajabuajabu wasiwe wale wa mchuzi. ila najua kupika dagaa wa taste tofautitofauti siku nitawafundisha wale Wazaramo wenzangu.
 
Naona Smile umejiandaa kubishana na KFC,, nasikia wanakuja bongo kulisha wabongo kuku wao "Kentucky style" wanaowapa umaarufu worlwide..

Nina imani ukijipanga vizuri KFC wataisoma namba.. Wateja wote kwa smile..

Take opportunity ya kukamata marketshare mapema maana KFC soon anaanza kazi bongo,,, na akija KFC tu atakayefata ni Mac donald so wawahi mdada kipaji umekikalia hicho..
 
ngoja nitafute jiko kwa kweli
 
au kama le mutuz
551833_278855702225683_471051535_n.jpg

Hahahahaha, hapo lazima boda boda ibonyee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom