nina cheti cha form six chumbani

nina cheti cha form six chumbani

asanteni wanajamii kwa ushauri wenu nnawatakia siku njema
 
haya POPE umesikika njoo uchukue posho
issue siyo posho ndugu yangu lakini inakera sana mtu amefika hapa na tatizo lakini unampa kejeli,ingekuwa ni kutafuta u house boy nadhani asingefika hapa,tujifunzeni ndugu zangu,inakera sana muomba msaada kuishia kejeli na vijembe badala ya msaada anaotaka
 
Pole sana,bt cha msingi never give up.hii ndo nchi tanzania,vidato kibao lkn havina muelekeo.cha msingi usibague kazi,hata ukipata ya kubeba mizigo we beba.nakumbuka nilipomaliza form six nilitafuta kazi ya kufundisha bt nilikosa ikabidi nirudi kijijini kutafuta kibarua cha kulima,na kweli nililima na kupata pesa ya kunisogeza.
 
thanks u broh inabidi nitafute kazi kisha nitafute leseni then nianze kuwork na biznes at once this is my idea
 
Kufundisha ndiyo kazi ambayo itakulipa kwa elimu yako na mahitaji ni makubwa. Unaweza kuomba shule mbalimbali hasa zilizo karibu nawe. Ukizidiwa sana jishushe hadi ngazi ya msingi. Hii nongea kutokana na uzoefu wangu kwani niliwahi kufundisha tuition wakati nasubiri kuingia chuo. Kabla ya hapo nilishaomba shule kashaa lakini nikapata nafasi ya kufundisha tuition hivyo options nyingine nikaziacha.

Ukibahatika kupata sehemu ya tuition, malipo yanaweza kuzidi hata kazi za kawaida iwapo wanafunzi wakikukubali. La muhimu ni kupiga shule na kutoa vitu vya uhakika.

Kila la kheri!
 
komaa mzee mwenzangu.hata mimi ni kama wewe......kwa ushauri mzuri wa jf sasa ni mwanafunzi wa MAENDELEO YA JAMII....KATIKA CHUO CHA TEOFILO KISANJI...BAADA YA KUGANGA TOKA FORM 6 SASA NAJILIPIA ADA MWENYEWE......
 
ulifanyaje ndugu maana am in dillema
 
Mi nafikiri ungemaliza hiyo kozi yako hapo open university, japo umesema uchumi unakusumbua kidogo but at least ukiwa na bachelor soko linakuamini kuwa uta-deliver. Pole kwa changamoto za maisha nakumbuka hata mm zilinikumba nilipomaliza form six nikakosa sponsor wa kunisomesha higher learning. Usife moyo mdogo wangu wala usione aibu katika ku-fight.
 
wazo la kumaliza lipo palepale ila kama huifahamu open university bila ya kufanya kazi na maana kua na kipato huwezi kufanikiwa sababu kila kitu ni juu yako kuanzia walimu wa kukufundisha masomo yote na gharama zingine zote hivyo yanipasa kufanya kazi ili niwezi kumudu garama za study material na maana photocopies na kadhalika sio siri kwa ninavyojua umuhimu wa elimu na nilivyojua kua form six haina thamani yoyote kwenye sok la ajira nipo radhi kufanya kazi yopyote ili nimalize
 
Back
Top Bottom