appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,824
- 3,089
habari wadau natumai wote wazima sasa bila kumung'unya ng'unya maneno mimi ni muhitimu wa kidato cha sita miaka kadhaa iliyopita na nilifanikiwa kujiunga na chuo kikuu huria (open university of tanzania) na bado naendelea na masomo hapa out lakini kuna changamoto zinazojitokeza hasa za kiuchumi na maspmo kwa ujumla hivyo yanipasa nitafite kazi ya kufanya ili nikabiliane nazo kwa kipindi kirefiu nimeptafuta kazi bila mafanikio lakini katika kutafuta huko kazi sijatoka bure kuna vitu nimejifunza. nimekuja hapa jamvini kuomba msada ni aina gani ya kazi naweza kupata kulingana na elimu yangu ya form six hii itanisadia hata mimi kutokupoteza muda kwa kazi ambayo kuna uwezekano haba wa kuipata
asanteni na subiria majibu yenu:dizzy:
asanteni na subiria majibu yenu:dizzy: