Nina Changamoto kubwa sana wadau inanisumbua... ushauri wenu muhimu

kwanza shukuru mungu ni mtoto mmoja,ingekuwa ni mapacha sidhani hata kama ungepata nguvu za kuandika hii thread

pole sana, ngoja nitafakari cha kukushauri. ntarudi
 
Hawa wamepata pa kuchuma, muhimu kuwa na msimamo.
Hellow Jukwaani...

Kwa mara nyingine ninawasalimia. Wadau nina changamoto kubwa inanisumbua sana. Awali ya yote nipende kumshukru Mungu kwa hapa nilipofika maana bila mapenzi yake isingewezekana.

Nakumbuka niliweka thread humu kuhusu kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha sita na baadaye akajifungua mtoto wa kiume.

Sasa changamoto iliyopo ni baada ya kufika nyumbani kwao ambao walinipiga fine ya ng'ombe watatu majike hii ilikuwa kwa ajili ya kumwachicha mtoto wao shule, wakaniambia kulipa hela laki 8 ambayo waliita ya kukubaliwa kwao (kubisha hodi) na sambamba na hilo wakaomba laki 5 kama kishika uchumba cha mwanao, mwisho wakaomba niwe nampa mama mtoto laki 3 na nusu kila mwezi kwa ajili ya kuleo mtoto na mama kabla sijamuoa. Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu nimefanikiwa kuwapa ngombe, faini ya kubisha hodi na hiyo kishika uchumba.

Tatizo nililo nalo ni kwamba tulikubaliana hiyo ya kulea niitume kwa njia ya benki ili records ziwepo pande zote mbili ila mama mtoto akawa anomba hiyo hela nikawa namtumia kwenye simu yake, sasa yapata kama miezi 7 tangu tukubaliane... nimekuwa nikimtumia kwa njia hiyo na meseji nazitunza.

Juzi ndugu zake wakawa wameanza madai mapya wanataka rist za benki nikawaeleza kuwa nimeshamtumia kwa njia nyingine, wanadai eti hiyo hawaitambui, nikawa meseji za malipo bado hawatambui, ivi ni halali kweli? Nimetuma hela almost kila month bado wanaona sijafanya kitu? Nitawezaje kumtelekeza mtoto wao mm?

Kiukweli niliwaza sana ikabidi cha kwanza nimtoe kabisa hata huyo mama mtoto kwenye mipango ya kumuoa, naona kama familia yake hatutaeleawana maana wanafanya kama biashara sasa, nilichoamua kukifanya ni kutafta namna ya kurudiana na mchumba wangu ambaye nilimsaliti kwa huyu.. ingawa na yeye amekuwa na misimamo mikali huwa hanitaki tena na hatiweza kurudiana.

Ebu wana jamvi tushauliane, niache tu kutoa hizo pesa maana silaha yao kubwa imekuwa ni kunishitak ili nifungwe? Au nifanye nin, imekuwa kero kwangu.

NB: mama mtoto yuko kwa wazazi wake, walimkatalia mpaka nilipe mahari na taratibu zingine zifuate.

Nawatakia weekend njema.
 
Kama sheria inaruhusu fata taratbu zote chukua mtoto wako pta kushoto
 
Waachie mtt wao wamuoe wenye umekuwa mstaarabu sana ndio maana wanakufanya mradi
 
Ulifanya kosa kwa kua makubaliano yalikua utume kupitia bank hapo inaonesha mama alikua anawapiga bao cha kufanya ongea na mama mkwe ndio anajua kwa nini wanasumbua
Itakuwa anazila hizo hela halafu bado anawaomba wazazi wake matunzo
 
Kwann usimchukue huyo bint na mtoto wako ukae nao,

Namchukuaje mkuu wakati wamemkatalia... by the way mm mwenyew si kwamba nampenda kivile basi tu alivopata mtoto wangu lkn sasa ndio wanazidi kunitibua tu
 
Kuna familia zina mambo ya kise**la unaweza ukapiga mtu..ukitembea na mtoto wao utajuta
 
Hapo kazi unayo maana wanakamua ng'ombe wa maziwa na ww wamekufanya ng'ombe wa pesa.Hiyo pesa unayotoa kila mwezi mpaka 2yrs unavyopanga ww utajuta kutongoza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom