Nina bamia nahofia labda siwaridhishi wanawake

Nina bamia nahofia labda siwaridhishi wanawake

masinde81

Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
64
Reaction score
53
Nina miaka mitatu (3) sija sex, hata hivyo nina mashine ndongo, hivyo nakuwa naogopa niki sex na msichana naweza nisimriidhishe, nifanyaje wadau maana umri unaenda na natamani sana kuwa na GF ila shida ndio hiyo.

Naomba ushauri wenu tafadhari
 
Kama kuwa na kibamia umefika kukata tamaa hivyo basi wale Walemavu na Viumoro wao wafanye nini? Kama bado wanaishi na kufanya yao kama kawaida kwanini na wewe ukatafuta mke na kumuweka ndani. USIHADAIKE NA UMBO MUHIMU UFANISI MDOGO AWEZA MAMBO MAKUBWA USIOYAHISI.
 
bado unakua kijana usiwe na haraka, itarefuka tu mpe Mungu mda.
 
Kama bado unasoma kazana kusoma kwanza!!Jenga kujiamini na kujikubali...Ndizi zote hupikwa chunguni...``ujuzi wa mpikaji humridhisha mlaji"
 
We jamaa ufai unazani MUNGU ni mjinga kukuumba hivyo Kuna mwanamke special kwa ajili yako believe me.
MUNGU ni mwema.
Jiamini acha ushamba kuanzia sasa.
 
Bamia za wapi mkuu maana kama ni bamia za Ruvu huwa kubwa na ndefu....
Au bamia zinazolimwa bonde la msimbazi?
 
Unajishtukia bure tu,kuna wanawake wengine wanajishtukia kama wewe kwa kuwa na uke mdogo.
Tafuta mwanamke mwenye mbunye ndogo ili mwende sawa.
 
we endeleza kupiga gambe mwana.kulalama hakutokusaidia kama kuumbwa ndo tayari....endeleza mchezo utapewa Wa kufanana
 
nina miaka mitatu(3) sija sex....hata ivyo nina mashine ndongo...ivyo nakuwa naogopa niki sex na mschina naweza nisimlizishe...nifanyaje wadau...maana umri unaenda na nataman sana kuwa na GF...ila shida ndio hiyo.....naomba ushauli wenu tafadhari.....
Hilo lisikupe shida mdau kile kifuko cha zambarau ni cha ajabu sana kitakucomodate tu cha msingi pump tu ndo issue just imagine katoto kanatoka pale na kifuko kinarudi km kawa ivyo ata we utapata accomodation yatutosha hayo mengine ni sycological issues ambazo zipo kichwani mwako.wish to try
 
Utajuaje sasa anayo ndogo?
Unajishtukia bure tu,kuna wanawake wengine wanajishtukia kama wewe kwa kuwa na uke mdogo.
Tafuta mwanamke mwenye mbunye ndogo ili mwende sawa.
 
nina miaka mitatu(3) sija sex....hata ivyo nina mashine ndongo...ivyo nakuwa naogopa niki sex na mschina naweza nisimlizishe...nifanyaje wadau...maana umri unaenda na nataman sana kuwa na GF...ila shida ndio hiyo.....naomba ushauli wenu tafadhari.....

kibamia sio ishu mkuu kubwa ni kukaa mda mrefu kwenye gemu demu anariridhika
 
Tatzo si bamia ila "Umejiaminisha kuwa una kibamia" pia hata ukiwa na kibamia pia unaweza "piga kazi" na "ukaeleweka tu"..

Kama hiyo '81 ni mwaka wako wa kuzaliwa bro.! Jitahidi uwahi maana umeshachelewa..!!
 
Jifunze namna ya kukitumia hicho ki bamia chako
 
kama una furniture chache panga chumba kidogo cha size yako..Acha kulalama
 
Back
Top Bottom