Nina bahati na Bikira

Nina bahati na Bikira

Sio jambo la kufurahia "kuharibu usichana wa ma binti" bali ni laana. Bikira inapaswa kuwa zawadi ya mume wake.

Binafsi, mke wangu nimemkuta BIKIRA (Tumeoana mwaka huu) na tulikaa kwenye uhusiano kwa miaka 5, kwa kifupi tulibikiriana (akiwa ni mwanamke wa kwanza kushiriki naye tendo hilo), tukiwa honeymoon.

Kama unataka Mungu akupe mwanamke aliyejitunza, watunze wengine na wewe ujitunze pia.

You will reap what you are sowing, young man. Change..!
Asee you are blessed mkuu....hata me natamani iwe kama ivo!!
 
Toka nianze mahusiano ya kimapenzi miaka kaanza iliyopita wasichana niliokutana nao karibia wote walikuwa ni bikira.
Mpaka sasa imekuwa kawaida kwangu Mimi kutoa kitu kwenye maganda yake na sio cha mchangani kula hadi ukipulize.

The Law of Attraction
"You always attract what you desire most"

Yani Siku zote unavutia kitu unachokihitaji zaidi.
Law inasema kuwa sisi binadamu ni kama "sumaku" inayotembea hivyo unavuta vitu ambavyo nafsi inavihitaji.
Hivyo usilalamike kuwa bikira ni adimu au hazipo ni kwa vile hauna desire nayo hivyo hauwezi hata siku moja kuivutia kwako utaishia kusikia kwa wenzako tu
Change your desire na bikira itakuwa kitu cha kawaida.
NB: kati ya wasichana niliokutana nao ni mmoja tu ndo hakuwa bikira ambaye sikukutana nae tena baada ya siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naimagine laana zitakavyokuandama...maana kumchezea inocent girl Mungu lazima akupige NGUMI!! we ona sifa tu
 
Toka nianze mahusiano ya kimapenzi miaka kaanza iliyopita wasichana niliokutana nao karibia wote walikuwa ni bikira.
Mpaka sasa imekuwa kawaida kwangu Mimi kutoa kitu kwenye maganda yake na sio cha mchangani kula hadi ukipulize.

The Law of Attraction
"You always attract what you desire most"

Yani Siku zote unavutia kitu unachokihitaji zaidi.
Law inasema kuwa sisi binadamu ni kama "sumaku" inayotembea hivyo unavuta vitu ambavyo nafsi inavihitaji.
Hivyo usilalamike kuwa bikira ni adimu au hazipo ni kwa vile hauna desire nayo hivyo hauwezi hata siku moja kuivutia kwako utaishia kusikia kwa wenzako tu
Change your desire na bikira itakuwa kitu cha kawaida.
NB: kati ya wasichana niliokutana nao ni mmoja tu ndo hakuwa bikira ambaye sikukutana nae tena baada ya siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama unagonga vtoto vya form one unakosajeee bikiraa....tafuta 25+ ukoooo uone bikira unaikutajee aisee
 
Itakuwa bikra zakutengezwa kwa alovera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

KAABAD THE GREATEST
 
Sio jambo la kufurahia "kuharibu usichana wa ma binti" bali ni laana. Bikira inapaswa kuwa zawadi ya mume wake.

Binafsi, mke wangu nimemkuta BIKIRA (Tumeoana mwaka huu) na tulikaa kwenye uhusiano kwa miaka 5, kwa kifupi tulibikiriana (akiwa ni mwanamke wa kwanza kushiriki naye tendo hilo), tukiwa honeymoon.

Kama unataka Mungu akupe mwanamke aliyejitunza, watunze wengine na wewe ujitunze pia.

You will reap what you are sowing, young man. Change..!
Wanaume na wanawake wa dizaini yenu. Siku izi hamna ni adim sana kwwnye watu 1000 labda awemo 1 tu

Sent using iPhone.
 
Sio jambo la kufurahia "kuharibu usichana wa ma binti" bali ni laana. Bikira inapaswa kuwa zawadi ya mume wake.

Binafsi, mke wangu nimemkuta BIKIRA (Tumeoana mwaka huu) na tulikaa kwenye uhusiano kwa miaka 5, kwa kifupi tulibikiriana (akiwa ni mwanamke wa kwanza kushiriki naye tendo hilo), tukiwa honeymoon.

Kama unataka Mungu akupe mwanamke aliyejitunza, watunze wengine na wewe ujitunze pia.

You will reap what you are sowing, young man. Change..!
Mkuu umeingizwa cha kike kwa nguvu ya limao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukrani tele kwako mkuu kwa kuwasafishia vijana wenzio njia...
uwajibikaji wako hakika ni wa thamini sana!
 
Halahala usikute unapiga bikra za kariakoo mchina kashindwa kifo tu vingine vyote ruksa kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom