Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 698
Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA ili nijibanze kwenye kuhesabu pesa za madini, nipeni utaratibu, gharama zake ni sh ngapi na mtihani ni mwezi wa ngapi.
Okay, lkn mimi nahitaji skills basi sijapanga kuwa mwanachamaNenda ofisi zao kule bibi titi utaelezwa kila kitu, kwa hio degree ya mining ili usome cpa utasoma jumla ya masomo 15
Nakushauri utafute kwanza kazi huko mogodini ndio ukipata hio cpa labda uombe kuhamishiwa kuwa muhasibu,
kwa upande wa kazi za kuomba kwa mara ya kwanza na sio uhamisho wanatakaga degree za uhasibu + cpa vyote kwa pamoja
Pia ujiandae kulipia 675,000 ya uanachama kila mwaka utapohitimu
Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA ili nijibanze kwenye kuhesabu pesa za madini, nipeni utaratibu, gharama zake ni sh ngapi na mtihani ni mwezi wa ngapi.
Nipo chini ya 30 alafu kichwa yangu sio ya mchezo mkuu, tangia vidudu mpaka chuo kikuu nimekua wa kwanza, kwenye masomo yangu haijalishi ni chuo gani au ni masomo gani, masomo ya account kwangu ni cha mtoto, nataka kupata ujuzi tu, kushift kwenda kwenye uhasibu haitakua tatizo kwanguKama una umri chini ya miaka 30 May be, ila after that sishauri..... hizo ni professional mbili tofauti, na unasoma sababu umeambiwa CPA ila deal, I want to tell you Haina deal!
Deal katika maisha kwa sasa ni ku stick with one thing, kumwomba Mungu, kukiamini na kujitahidi, ukihangaika utazeeka una hangaika!
Yote hayo nayaelewa, mkuu, nimesomaga olevel kuanzia form one mpaka threeItabidi uanzie hatua ya awali kabisa maana sizani hata kama unajua what is book keeping au what is commerce and related
Sent using Jamii Forums mobile app
OkayNenda moja kwa moja kwenye mitihani ya board kuna modules zao si lazima uende darasani
Nipo chini ya 30 alafu kichwa yangu sio ya mchezo mkuu, tangia vidudu mpaka chuo kikuu nimekua wa kwanza, kwenye masomo yangu haijalishi ni chuo gani au ni masomo gani, masomo ya account kwangu ni cha mtoto, nataka kupata ujuzi tu, kushift kwenda kwenye uhasibu haitakua tatizo kwangu
Na nikisha fNenda moja kwa moja kwenye mitihani ya board kuna modules zao si lazima uende darasani
Oooooh, okay, nmekupata ila hilo halina tatizo kwangu, maana sihitaji kuajiliwa najiajili mwenyewe, lkn naihitaji sana sana elimu ya uhasibu, nahitaji kujua sheria za biashara, nahitaji kujua financial management, nahitaji kujua kuandaa financial statements, ndio haya nayo yahitaji.Swala sio akili, swala is to know what you want and pursue that! Ila below 30 waweza kucheza, ila you must chose what you to do and invest huko!
Baada ya first degree unaanza kujenga experience, Sasa kama utakuwa unaongeza vitu bila experience Haina maana!
Na nikisha f
Oooooh, okay, nmekupata ila hilo halina tatizo kwangu, maana sihitaji kuajiliwa najiajili mwenyewe, lkn naihitaji sana sana elimu ya uhasibu, nahitaji kujua sheria za biashara, nahitaji kujua financial management, nahitaji kujua kuandaa financial statements, ndio haya nayo yahitaji.
Nipo chini ya 30 alafu kichwa yangu sio ya mchezo mkuu, tangia vidudu mpaka chuo kikuu nimekua wa kwanza, kwenye masomo yangu haijalishi ni chuo gani au ni masomo gani, masomo ya account kwangu ni cha mtoto, nataka kupata ujuzi tu, kushift kwenda kwenye uhasibu haitakua tatizo kwangu
Mpaka Sasa nina kampuni zangu mkuu, na nimeajiri vijana kama wewe wanapiga kazi, acha zarauHongera kwa kuongoza kwenye taaluma mkuu,vp kwenye upande wa uchumi wako binafsi hujaelezea unaongoza vijana wenye umri wa miaka uliyonayo kama darasani?au ndo umepata elimu lakini akili ya kitumia elimu yako kuongoza vijana wa rika lako kiuchumi hauna?ELIMU unayo tayari vp kuhusu AKILI mkuu zipo kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama nipo kwenye kampuni ya familia mkuu unaweza kujuaje,Ni sawa, ila uzoefu na umri vinaweza kuku proved wrong! Don’t waste time, anza Safari ya kuelekea unapotaka kwenda!
Kama hutaki ajiriwa CPA ya nini? Mie Nina bachelor ya account, CPA and post graduate ya community development.....
Je kama nipo kwenye kampuni ya familia mkuu unaweza kujuaje,
Ila ahsanteni kwa ushauri wakuuAll the best! Sisi tunashauri tu wewe unaamua!
Il
Ila ahsanteni kwa ushauri wakuu