establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,450
Wadau,
Nimetoka safari Mwanza nimefika home Arusha mke wangu kanuna hanisemeshi. Nikimuuliza nini tatizo hasemi, nami toka niende safari sijapiga nje (kuogopa magonjwa+KUBANA MATUMIZI) nikijua nikija home nitapewa kipochi manyoya. Nitumie njia gani kupunguza hizi 'ashki'?