Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,726
- 1,685
Ndugu zangu habari, nina tatizo hapa, kama lilivyokaririwa kwenye kichwa cha habari hapo juu,
Kuna wazo zuri la kipekee ninalo ila nashindwa kuelewa nifanye nini ili kuliwasilisha kunakohusika, hali yangu ya Uchumi ni ya kawaida, hivyo nahofia kulifikisha wazo hili wa wanasheria, wakanitajia pesa nyingi za kulimodify na nikawa sina, wakaniibia wazo.
Naombeni ushauri wenu nitumie njia gani ili kulifanyia kazi hili wazo langu vyema kwa usalama na lisiibiwe......