Nina allergy na mademu weupe

Nina allergy na mademu weupe

Mpaka sasa nimeshachakata mademu zaidi ya Zhong Tong 3

Lakini wengi wao ni wale black beauties

Nikiwa na demu mweupe nakuwa na mzuka nae kwa wiki kadhaa lakini baada ya muda taratibuu naanza kupoteza hisia nae na ananitoka kabisa moyoni

Mwezi wa 9 nlipata mtoto Mkali Sana mweupe wa kinyiramba lakini tangu mwezi huu umeanza Sina mzuka nae na nishamwambia simtaki

Kwangu demu mweupe namwona wa baridi tu hanipi mzuka wowote .

End of thread.
vibamia vina mambo sana, maji kama yamo kazi ya mboo ni nini? kukausha yote! ile dry deki!
 
Back
Top Bottom