Nina allergy na mademu weupe

Nina allergy na mademu weupe

Halafu wanawake asilimia kubwa wanababaika sana na wanaume weupe haswa mkoa wa arusha yaani sisi weusi hatuna maana aisee wanawake wa huku wanataka wanaume weupe..HOVYO SANA.
Wanaume weupe wapo wazuri na wapo wabayaa na wanaume weusi wapo wazuri na wabaya pia
 
Mpaka sasa nimeshachakata mademu zaidi ya Zhong Tong 3

Lakini wengi wao ni wale black beauties

Nikiwa na demu mweupe nakuwa na mzuka nae kwa wiki kadhaa lakini baada ya muda taratibuu naanza kupoteza hisia nae na ananitoka kabisa moyoni

Mwezi wa 9 nlipata mtoto Mkali Sana mweupe wa kinyiramba lakini tangu mwezi huu umeanza Sina mzuka nae na nishamwambia simtaki

Kwangu demu mweupe namwona wa baridi tu hanipi mzuka wowote .

End of thread.
Mi mwanaume mweupe
 
Kaka wewe ni black au white?
Mimi ni white kabisa wa Asili...
ila sijui ni kwanini tu mademu weupe huwa hawanivutii kabisa.

kipaumbele changu kwa manzi ni Rangi nyeusi na nundu.. tabia ni kitu cha kurekebishana ikiwa ni mtu mwelevu.
 
Back
Top Bottom