Nina allergy na mademu weupe

Nina allergy na mademu weupe

hapana sijataja mtu jina mkuu

wenye ID zinazoanziwa na M wapo wa kutosha humu

tafadhali usimtag mtu usie na uhakika nae mkuu halafu kingine (usichukulie serious sana comment/thread zangu)
Wala sijachukulia serious
 
kweli mkuu na usiombe awe mweupe afu nyuma kafungasha mbona kila baada ya hatua 5 anakutana na mshale sasa jiulize ataweza kukwepa mishale yote kila siku?
Ukitaka ndoa yako idumu wewe jinyakulie tu maji ya kunde, ila ukutaka idumu haswa chukua mweusi kama chungu cha wajaluo afu awe flat mbna utaenjoy maisha.
Kwanza hata akisimamishwa huna wasiwasi
Kwa hiyo kumbe tatizo kubwa ni nyie hamjiamini?
 
sio hatujiamini ila wa aina hyo wanamegwa kama kawa.

Mkuu una inferiority ila hutaki kuikubali, cha ajabu unaoa asiye na mvuto ili tu asitazamwe na watu lakini baada ya hapo unamtamani yule unayemuogopa! Tabia ni asili ya mtu bila kujali ana mvuto au hana.
BTW, hivi hujisikii vibaya kuwa na mwanamke hata asiyeangaliwa? Mwanaume anayejiamini anakuwa na mwanamke anayemvutia na hiyo inamuongezea hata confidence akiwa na watu. Kamata kisu wewe acha uoga
 
Waoooooo kumbe mm ni deal maana mweusi Kama chungu cha mjaluo
 
Mpaka sasa nimeshachakata mademu zaidi ya Zhong Tong 3

Lakini wengi wao ni wale black beauties

Nikiwa na demu mweupe nakuwa na mzuka nae kwa wiki kadhaa lakini baada ya muda taratibuu naanza kupoteza hisia nae na ananitoka kabisa moyoni

Mwezi wa 9 nlipata mtoto Mkali Sana mweupe wa kinyiramba lakini tangu mwezi huu umeanza Sina mzuka nae na nishamwambia simtaki

Kwangu demu mweupe namwona wa baridi tu hanipi mzuka wowote .

End of thread.
Sasa allergy ipo wapi hapo😀😀
 
Back
Top Bottom