Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,708
- 8,746
Mpaka sasa nimeshachakata mademu zaidi ya Zhong Tong 3
Lakini wengi wao ni wale black beauties.
Nikiwa na demu mweupe nakuwa na mzuka nae kwa wiki kadhaa lakini baada ya muda taratibuu naanza kupoteza hisia nae na ananitoka kabisa moyoni.
Mwezi wa 9 nlipata mtoto Mkali Sana mweupe wa kinyiramba lakini tangu mwezi huu umeanza sina mzuka naye na nishamwambia simtaki.
Kwangu demu mweupe namwona wa baridi tu hanipi mzuka wowote.
End of thread.