Nina addiction na Pornography!

Nina addiction na Pornography!

Porn ni sehem tuu ya burdani km nyingine, ila ukizidsha ndo unpata psychological problems, kama vile ukizdsha kitu kingne chochote cha kiburdan, kwa hyo angalia kwa kias
 
Unajiambia kuwa huwezi kuacha?!
Labda niulize kwa nini unataka kuacha?

"changes will come when the cost of staying the same exceeds the cost to change"
 
Yakikushinda angalia tu,na kama hazikutoshi njoo nikutumie zingine.nadhani ni ngumu kuangalia kuliko kuacha.
 
Unajiambia kuwa huwezi kuacha?!
Labda niulize kwa nini unataka kuacha?

"changes will come when the cost of staying the same exceeds the cost to change"
Nahis umeshaona the cost of change and I m dedicated to make some changes ndo maana nimekuja apa
 
Nahis umeshaona the cost of change and I m dedicated to make some changes ndo maana nimekuja apa

"....Hii kitu nimekua siwezi kuiacha yaan kila nikipata chance ya kuingia internet tu si search kitu kingine bila kucheki Picha za uchi au video za ngono..."

"..najaribu kuacha nashindwa nikiona internet tu narudi kule Kule!..."

Mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom