Nina addiction na Pornography!

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,246
1,643
Nina miaka 23!!kijana wa kiume!!Nimeanza kuangalia porn nikiwa na miaka 16 had leo!!Hii kitu nimekua siwezi kuiacha yaan kila nikipata chance ya kuingia internet tu si search kitu kingine bila kucheki Picha za uchi au video za ngono!! Yaan had imekua shida mbaya zaidi lazima nilipue na Bomu LA nyukilia ndo ham inashuka....najaribu kuacha nashindwa nikiona internet tu narudi kule Kule!.
Nataka niache lakini nafikiri nutawezaje wakat internet IPO tena na zmesambaa
Naomba ushauri au walio na tatizo kaa hili ?
Au umeacha au unajua jinsi ya kuacha

59a01ed523117f17d7a669a538d68ec3.jpg

(Not me)
 
Picha ina mahusiano gani na uliyoandika?hilo ni pepo hadi ukaombewe lifurumushwe
 
Unaweza ukaseti simu ikawa haileti mambo ya porn kila ukisearch au umijaribu kutembelea tuvuti za porn utaambiwa webpage not available poa jitahidi usome vitabu hasahasa vya dini au hata vya hadith ila zisiwe za mapenzi pia fanya sana mazoezi epuka kuangalia video shawishi kama chura na ujitahidi kukaa mbali na makundi yanayojadili mambo yenye ushawishi au yanayoleta mihemko jitahidi mkuu utafika mahala na hapa JF thraed kama za Monica usiwe unazisoma kabisa hii itakusaidia pia
 
Nina miaka 23!!kijana wa kiume!!Nimeanza kuangalia porn nikiwa na miaka 16 had leo!!Hii kitu nimekua siwezi kuiacha yaan kila nikipata chance ya kuingia internet tu si search kitu kingine bila kucheki Picha za uchi au video za ngono!! Yaan had imekua shida mbaya zaidi lazima nilipue na Bomu LA nyukilia ndo ham inashuka....najaribu kuacha nashindwa nikiona internet tu narudi kule Kule!.
Nataka niache lakini nafikiri nutawezaje wakat internet IPO tena na zmesambaa
Naomba ushauri au walio na tatizo kaa hili ?
Au umeacha au unajua jinsi ya kuacha

59a01ed523117f17d7a669a538d68ec3.jpg

(Not me)
Pole sana mwanangu,,,naona mkunungwa wakunogesha umetupia,,,mboni usemi pia huna demu maana tatizo siyo hizo PIC,,,tatizo mkuunungwa ukisimama hakuna pa kusababishia,,
 
Asante Mkuu!! Ila apo kwenye threat za monicca
 
Pole sana mwanangu,,,naona mkunungwa wakunogesha umetupia,,,mboni usemi pia huna demu maana tatizo siyo hizo PIC,,,tatizo mkuunungwa ukisimama hakuna pa kusababishia,,
Dem ninae lakini mazingira s rafiki kwa muda wotee
 
Unaweza ukaseti simu ikawa haileti mambo ya porn kila ukisearch au umijaribu kutembelea tuvuti za porn utaambiwa webpage not available poa jitahidi usome vitabu hasahasa vya dini au hata vya hadith ila zisiwe za mapenzi pia fanya sana mazoezi epuka kuangalia video shawishi kama chura na ujitahidi kukaa mbali na makundi yanayojadili mambo yenye ushawishi au yanayoleta mihemko jitahidi mkuu utafika mahala na hapa JF thraed kama za Monica usiwe unazisoma kabisa hii itakusaidia pia
Chura! chura amevuruga utulivu hapa mjini.
 
Nina miaka 23!!kijana wa kiume!!Nimeanza kuangalia porn nikiwa na miaka 16 had leo!!Hii kitu nimekua siwezi kuiacha yaan kila nikipata chance ya kuingia internet tu si search kitu kingine bila kucheki Picha za uchi au video za ngono!! Yaan had imekua shida mbaya zaidi lazima nilipue na Bomu LA nyukilia ndo ham inashuka....najaribu kuacha nashindwa nikiona internet tu narudi kule Kule!.
Nataka niache lakini nafikiri nutawezaje wakat internet IPO tena na zmesambaa
Naomba ushauri au walio na tatizo kaa hili ?
Au umeacha au unajua jinsi ya kuacha

59a01ed523117f17d7a669a538d68ec3.jpg

(Not me)
bwana akurehemu uache hiyo tabia ktk jina la Yesu.
 
Aalfu mkulu wa nchi anasema hatuwataki wamarekani watutawale, kwa mawazo haya kweli wazungu wataacha kututawala kweli??
 
Back
Top Bottom