ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Sawa mkuu.acha fikra za kindezi
Sawa mkuu.acha fikra za kindezi
Beforward.com
Then cheki ushuru TRA ( tra.co.org)
Wakuu nataka gari yenye sifa hizi
Haiconsume sana mafuta,
Isiwe chini maana nakaa milimani Lushoto,
na km kuna namna kwa hiyo hela naweza kuagiza nje.
Ahsanteni
Duu...zitafaa kweli hizo tairi.Nunua passo halafu ubadilishe tairi uweke za scania
Mmmmh!Itabidi uchukue Touareg mkuu wangu.......ipo very comfy na inafaa kwa njia za Lushoto.............
AsanteHizo anuani zote ulizotoa haziko sahihi.
Pole.
Kajifanya mjuaji Kumbe emptyHizo anuani zote ulizotoa haziko sahihi.
Pole.
Beforward.jpHizo anuani zote ulizotoa haziko sahihi.
Pole.