Nina 7M net nataka gari yenye sifa hizi

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Wakuu nataka gari yenye sifa hizi
Haiconsume sana mafuta,
Isiwe chini maana nakaa milimani Lushoto,
na km kuna namna kwa hiyo hela naweza kuagiza nje.
Ahsanteni
 
Wakuu nataka gari yenye sifa hizi
Haiconsume sana mafuta,
Isiwe chini maana nakaa milimani Lushoto,
na km kuna namna kwa hiyo hela naweza kuagiza nje.
Ahsanteni
nicheki hapa mkuu uchague gari mkuu 0712505049
 
Itabidi uchukue Touareg mkuu wangu.......ipo very comfy na inafaa kwa njia za Lushoto.............
 
Vipi kuhusu Dahatsu(Terrios).
Ni gari ndogo kiasi lakini iko juu juu, Less fuel consumption, Comfortable na bei yake sio mbaya sana.
Ngoja wataalamu na wazoefu waje watupe details zaidi.
 
Suzuki au RAV4 zinafaa sana huko tatizo bei
Kule Suzuki ndio tax so jamaa atakuwa anasimamishwa kila mahali wakijua dreva tax na bahat mbaya hazina namba nyeupe. Niliwah kwenda kule kwa mapumziko pale Kangaroo Hotel nilishangaa sana.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu niko na Suzuki KEI kwa Lushoto niliyokulia mimi kule Kitivo, Chakechake, Magamba, Mlalo na kwemakame kote huko inafika. Sijaisajili bado na consumption iko poa sana
 
Back
Top Bottom