Nin nifanye ikifika weekend

Nin nifanye ikifika weekend

Salama Jay

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
131
Reaction score
68
Mm ni very outgoing..napenda Sana kusafiri na kutoka ikifika weekend..tatzo linakuja kua I know only few people na Kwa wale watokaji mnajua how boring it can gt kutoka mwenywe..pili am single..!yaani boredom ndo inastrike Mara mbili..!yaani Kama Leo nina hamu kweli ya kudress up, look sexy ,kwenda somewhere n kill the weekend..!kunywa ndani alone sipendi coz sio mnywaji Sana..what should I do...
 
Kaka Kaboom wahi hapa....
Deadball inahitaji kuwekwa nyavuni....
ibra87 unaweza jaribu hapaaa...
 
Last edited by a moderator:
Njoo nikupeleke lush garden jijin arusha
 
Watu ni nooma kapotea..means ameshapata wa kutoka nae. Hamchezi mbali na fursa
 
Mm ni very outgoing..napenda Sana kusafiri na kutoka ikifika weekend..tatzo linakuja kua I know only few people na Kwa wale watokaji mnajua how boring it can gt kutoka mwenywe..pili am single..!yaani boredom ndo inastrike Mara mbili..!yaani Kama Leo nina hamu kweli ya kudress up, look sexy ,kwenda somewhere n kill the weekend..!kunywa ndani alone sipendi coz sio mnywaji Sana..what should I do...

Umelipia tangazo?? Haya nenda club au bar yoyote hutokuwa bored tena
 
Mm ni very outgoing..napenda Sana kusafiri na kutoka ikifika weekend..tatzo linakuja kua I know only few people na Kwa wale watokaji mnajua how boring it can gt kutoka mwenywe..pili am single..!yaani boredom ndo inastrike Mara mbili..!yaani Kama Leo nina hamu kweli ya kudress up, look sexy ,kwenda somewhere n kill the weekend..!kunywa ndani alone sipendi coz sio mnywaji Sana..what should I do...

Behind the scene
 
Kaka Kaboom wahi hapa....
Deadball inahitaji kuwekwa nyavuni....
ibra87 unaweza jaribu hapaaa...

Angeweka kapicha angalau..Unaweza kutoka na mtu zen njiani watu wakiowaona wanazani still mnacelebrate Halloween day
 
Last edited by a moderator:
Ahaa haa mkuu umekuwa selective...

Muhimu mkuu..Wengine majanga..Nilikutana na mmoja huyo hatari..Bila kuwa na pic ya gf wangu kwenye wallet nisingefunga goli hata moja..Ilibidi niitoe niwe naiangalia atleast ushindi ndo ukaja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom