Nimwambie Ukweli?

You have good credit but u choose the wrong course...
 
Mganga alikwambia umpe tone moja sasa ukampa kichupa we pambana na noma yako
 
Hebu angalia mobie ya j lo enough, itakufundisha kitu
 
Tupe mrejesho
 
Uje na I'd yako ya kila siku utupe mrejesho
 
Achana naye mana mwisho wa siku anaweza kukata shingo alafu ikawa ndo mwisho wako, mbona wanaume tupo wengi mkuu ,ila amini ukipata mwanaume mwingine pia unaweza kuta ana mapungufu fulani aidha ni makubwa au madogo kuliko huyo kurya boy
Kweli kabisa
 
Hayo mambo madogo sana kwa kuwa yanarekebishika kirahisi
Fanyà makubaliano naye ya kurudiana,Tafuta mwanasheria wa kike akuandalie hati ya makubaliano aweke vipengele vya pande zote, wako na wake pia namaanisha unavyotaka wewe asikufanyie na na anavyotaka yeye asifanyiwe
Kama mnapendana kweli kila mtu atakubali na mtasaini
Atakayevunja Sheria ifuate mkondo wake.
Dada yangu mmoja aligongwa na mme wake kutoka mkoa wa Mara tukawapatanisha hivyo baada ya dume kukaa lockup 48hrs kibongo bongo kwa location uliyotaja hakunaga hayo mambo siku hizi
Ila hao jamaa ndio utamaduni wao
Ishu ilianzia kwa mama mkwe wake baada ya kuja Dar akakaa mwezi akamweka chini mwanae kwamba sio mwanamme kamili na atatengeneza dharau kubwa sana kutoka kwa mke wake kwamba alishangaa toka aje hajawahi kuona mkwe anagongwa tena akamshauri kwamba amgonge nyumdo za maana ili heshima iwepo,akasema wewe si ulikuwa unaona baba yako alivyokuwa ananipiga hadi nazimia?Sasa wewe ni mwanaume gani usiyepiga mke?
Sasa hv ni 10 years wako vizuri tu
Pili kichapo Cha wale jamaa hakinaga macho maisha yako ni ya muhimu sana na mapenzi sio vita vitu vinapatikana na watu hawajaisha,ukiondoka kizembe unaviacha vyote,vitu na watu
 
Thread ya 8yrs ago, kwahiyo hata kama alikuwa binti wakati huo sahii anaitwa mama flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…