ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kwa hio unanishauri niwe mzinzi?Duh! We endelea kumega kisela tu! Mengine mwachie mwenyewe
Asante sana babuMjukuu, sijui level ya upendo wako kwake ikoje, lakini kama unampenda kwa dhati, ni vyema kukaa naye na kuongea naye kujua ukweli wa hili jambo na kama ni kweli kujua nini hasa kilimsibu mpaka akaamua kuongeza makalio.
Kipeperushi ulichokiona juu ya meza yake si ushahidi wa kutosha kuamini kuwa na yeye ametumia hizo dawa. Kuna baadhi ya wanawake hubadilika na kunenepa au kupungua kadiri miaka inavyoenda. Na hata kama aliyaongeza, yumkini alifanya hivyo kwa kuona huenda na wewe una dalili za kupenda wanawake wenye umbo hilo kutokana na maongezi yako au namna unavyofurahiana mkiwa faragha.
Kama upendo upo ila tatizo si tabia mbaya ya uhuni, ulevi, uongo au ushirikina, mengine mnaweza kuyaongea na kusameheana kama sababu mtakazopeana zitakuwa ni za kweli na jambo lilifanyika kwa nia nzuri.
Hofu yangu isije kuwa tunawamwaga hawa wadada kwa makosa yetu wenyewe wanaume.
Tafakari Mjukuu wangu.
Babu, HP
Kwa hio unanishauri niwe mzinzi?
Si bora mie ninaezini na huyu huyu mmojaHadi sasa we ni mzinzi.
Mbona unaonekana ushakubuhu hilo, nakushaur jipe muda kujua hatma yenuKwa hio unanishauri niwe mzinzi?
Sasa sijui anamtangazia nani?kama vp tufanye maamuzi magumu mimi nampotezeaMwenzio anabiashara zake we unakereka tena. Biashara matangazo
Sasa sijui anamtangazia nani?kama vp tufanye maamuzi magumu mimi nampotezea
Sure,ni kweli huyo wa kwangu atakuwa hayupo hivoBongo Dar Salama kaka hii dont trust anyone except yourself though sikutishi. Nishasikia kesi nyingi za wadada wa dar mchana anakuwa kawaida usiku anakuwa mzigoni mitaa fulani ingawa naimani huyo wa kwako hayuko hivyo.
ni kwl hakufai tena,ila atanifaa sana mim nayahusudu sn hayo madude,nipm #yake nikusaidie il utafute flat ingne,ahsant