Ninyi WATOTO huwa munatusumbua saana HUMU mitandaoni kweli ww hujui MTU akikuchoka anafanya nn? watu tunawaza sasa nchi hii inaendaje ww unaleta habari za kwich kwich hapa.
Mkuu hapo huna chako. Bidada ashawekeza mapenzi yake kwa kidume kingine. Inaonekana anashindwa kukupa ukweli. Ulikosea sana kumtelekeza kipindi chote hicho. Chukulia hayo ni mafunzo kwako. Endelea na maisha yako na yeye muache awe huru kwa alichokichagua. Usilazimishe. Utaumiza hisia zako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.