Uliwahi kumla?ninamwanamke wangu tulikosana na tukakaa bla mawasiliano kwa mda wa miezi takribani kumi kwa sasa ila namwomba msamaha anasema hataki mwanaume na hana sababu inamfanya kukataa kunisamehe au kukufanya tusirudiane na nkimpigia simu mara apokee mara aseme tuchati lakni nkimtxt hajibu sms zangu na kusema nimwache namsumbua na alikua ananipenda sana pia mm vivyohivyo ila tulikosana bahati mbaya nfanyaje ili anielewe nampenda bado?
Unafkr atkua anaish wap huyu zaid ya dar mkuu??Kama hataki msamaha achana nae lkn kama unaishi Dar endelea tu kuomba msamaha.
evlyn: hii ni mara ya nne namwomba tokea takribani mwezi wa kwanza wa tatu hadi saasa miez kumi