emmasoy
Member
- Jun 5, 2016
- 15
- 2
Nina mwanamke wangu tulikosana na tukakaa bila mawasiliano kwa muda wa miezi takribani kumi. Kwa sasa namwomba msamaha anasema hataki mwanaume na hana sababu inamfanya kukataa kunisamehe au kufanya tusirudiane.
Nikimpigia simu mara apokee mara aseme tuchati lakini nikimtxt hajibu sms zangu na kusema nimwache namsumbua.Alikua ananipenda sana pia mm vivyohivyo ila tulikosana bahati mbaya.
Nifanyaje ili anielewe nampenda bado?