Ndugu wana JF, mimi nina miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano na waschana watatu. STD7, chuo na wa cheti. Hawa wametokea kunipenda,. Muda wa kuoa umefika, nachanganyikiwa nimuoe yupi. Huyu std7 ana akili ya maisha, huwez kumsikia akiniomba hata vocha. Ni mm naamua kumtumia. Hofu yangu je, mimi nina mastaz ya elim. Je,tutaendana 1?

We mastaz huna....kasome uipatw
ka umejua nachotaka kusema... labda ana masters ya kung fu
Umeshawaoa siku nyingi kilichobaki ni kufunga ndoa tu. Acha uzinzi nenda kamuombe MUNGU ATAKUONYESHA ANAYEKUFAA. KIPIMO cha upendo si kuombwa vocha.