Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
We mastaz huna....kasome uipatw
Hata mie sijamuamini kabisa kama ana masters
We mastaz huna....kasome uipatw
Ndugu wana JF, mimi nina miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano na wasichana watatu. STD7, chuo na wa cheti. Hawa wametokea kunipenda,.
Muda wa kuoa umefika, nachanganyikiwa nimuoe yupi. Huyu std7 ana akili ya maisha, huwezi kumsikia akiniomba hata vocha. Ni mm naamua kumtumia. Hofu yangu je, mimi nina mastaz ya elimu.
Je,tutaendana ?
Hali yako inafanana na ya kaka yangu. Ni daktari na ameoa ex std7, mama mchakarikaji mno kwenye biashara na deal za ukweli kiasi wameweza kujenga nyumba tatu na kununua magari kibao. Hata hivyo kakangu analalamika kuwa yapo matatizo yatokanayo na kutoendana lakini anasema amejitahidi kuyavumilia na ameweza. Mojawapo ni wanapokuwa nyumbani wakijipumzisha baada ya kazi. Kaka kajiunganishia dstv na anapenda sana channel za science.Siku ya alhamis usiku, nyumbani hapakaliki, mama anataka aone Futuhi ya startv na kaka hana habari na hiyo kitu.Ndugu wana JF, mimi nina miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano na wasichana watatu. STD7, chuo na wa cheti. Hawa wametokea kunipenda,.
Muda wa kuoa umefika, nachanganyikiwa nimuoe yupi. Huyu std7 ana akili ya maisha, huwezi kumsikia akiniomba hata vocha. Ni mm naamua kumtumia. Hofu yangu je, mimi nina mastaz ya elimu.
Je,tutaendana ?
Oa ote
Nitarudi baadae