Nimuoe yupi kati ya hawa?

Nimuoe yupi kati ya hawa?

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Ndugu wana JF, mimi nina miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano na wasichana watatu. STD7, chuo na wa cheti. Hawa wametokea kunipenda,.

Muda wa kuoa umefika, nachanganyikiwa nimuoe yupi. Huyu std7 ana akili ya maisha, huwezi kumsikia akiniomba hata vocha. Ni mm naamua kumtumia. Hofu yangu je, mimi nina mastaz ya elimu.

Je,tutaendana ?
 
Ndugu wana JF, mimi nina miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano na waschana watatu. STD7, chuo na wa cheti. Hawa wametokea kunipenda,. Muda wa kuoa umefika, nachanganyikiwa nimuoe yupi. Huyu std7 ana akili ya maisha, huwez kumsikia akiniomba hata vocha. Ni mm naamua kumtumia. Hofu yangu je, mimi nina mastaz ya elim. Je,tutaendana 1?

Kwan we unaoa mastazi au mtu angalia moyo wako ulipo
 
Lazima uchanganyikiwe kama ulivyokuwa unawachanganya wao. Vipi hao wengine wanakuomba vocha?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni kwamba nisipotuma vocha mesej za tafadhal niongezee pesa/tafadhal nipigie kwa sana tu
 
yaani una mastas alafu unajiuliza kama mtaendana kisa std 7? Kikubwa ni kama mmaelewana na ana characters za kuwa mke mwema hayo mengine yatafahamika mbeleni maana unaweza kug'ang'ania aliesoma lakn ukaja ukajuta bora ungeoa hata huyo wa la 7. Unaweza mwendeleza mwenyewe na ukamtaftia kimradi akafanya
 
Ha ha ha this is childish ,wenzako tunao saba hadi akipiga ndo tunawakumbuka na hata koo tu halijauma
 
Ndugu wana JF, mimi nina miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano na waschana watatu. STD7, chuo na wa cheti. Hawa wametokea kunipenda,. Muda wa kuoa umefika, nachanganyikiwa nimuoe yupi. Huyu std7 ana akili ya maisha, huwez kumsikia akiniomba hata vocha. Ni mm naamua kumtumia. Hofu yangu je, mimi nina mastaz ya elim. Je,tutaendana 1?

Je akili ya maisha inapimwa kwa misingi IPI? Kuomba au kutokuomba hela ya vocha INA mahusiano gani na akili ya maisha? Unasema wanakupenda, je wewe unawapenda? Nadhani haupo tayari kuoa, hauna akili ya maisha. Ungekuwa una akili ya maisha ungekuwa unajua unahitaji mwanamke wa aina gani, ungekuwa na akili ya maisha usingekuja kuuliza swali la kijinga. Achana na hao wanawake huendani nao , huna akili ya maisha.
 
kwan ze dudu yako imewahi kushindwa kuzama kwa papuchi ya huyo mdada kisa std 7?......real life na white color education havihusian hata kidogo.....is up to u kusuka au kunyoa!!!!
 
Tuachane na elimu yako!, sasa wewe angalia yup anafaa kuwa mke then fanya maamuz!
 
Umeshawaoa siku nyingi kilichobaki ni kufunga ndoa tu. Acha uzinzi nenda kamuombe MUNGU ATAKUONYESHA ANAYEKUFAA. KIPIMO cha upendo si kuombwa vocha.
 
Back
Top Bottom