kuna usemi wa kiingereza usemao ASK YOUR HEART BEFORE U TELL HIM/HER GOODBYE usemi huu unanipa wakati mgumu sana katika kufanya maamuzi magumu.Naombeni ushauri juu ya hili lifuatalo:mwaka 2005 niliingia kwny mahusiano na binti wa kihehe yaliyopelekea yeye kupata ujauzito baada ya miezi 5.2006 nijiunga kidato cha tano mbeya hadi 2008 nilipohimu f 6. Baadaye nilimfanyia mpango wa kurudia shule ambapo arudia drs7 na kufaulu vzr kwenda sekondary.2008 nilijiunga na chuo kikuu na hadi kufikia mwaka wa pili wa masomo mambo yalikua shwari.Baada ya hapo nilianza kupokea simu kutoka kwa dada zangu zikishusha tuhuma nzito zinazohusu wifi yao baada ya kurudi kutoka chuo nimefanya uchunguzi na kugundua si za kweli na zinalenga kutusambaratisha.Mmoja nikamtania juu ya adhima ya kubariki ndoa mwakani akasema nikimwoa atajing'ata kidole hadi kikatike ila wazazi wanamkubali sana kiasi cha kumlipia hata michango ya shule.Nifanye nn juu ya hawa

mke wako mke wa dada zako? Afu hapa kwa mwanafunzi napata mashaka, mwanafunzi hata kama ulimpa mimba leo anasoma bhana, utamwitaje mke/wifi wa dadaako?

nimempeleka shule mwenyewe ili kupunguza gape la kielimu pia sikua na mpango wa kuoa baada ya kumpa mimba hivyo nilitaka aendelee jupunguza vidato katika safari ya kuelekea kuoana bahati nzuri ni mzima kichwani

watoto wa kiume bana. sasa kama hukua na mpango wa kumwoa ulimdanganyia nini unda eitin wa watu. ok ni vema ulifikiri kumshawishi kurudi darasani ila kama na mama wa mwanao y usijifunge kibwebwe kuyaoga maji ulotia upupu mwenyewe. unadhani nani mwanaume mwenzio akulelee

mwanao.

watu wengi hasa wanaume hawajui athari wanazozipata watoto wanaolelewa na single parent. inakera inaudhi na inashusha hata akili. mtoto akianza kujitambua na akawa na watoto wenzake wanaolelewa na wazazi wote wawili inawapa shida sana. ni bora kuwa hata na baba mlevi kuliko kutokujua babako nani. na hii inakua kama laana.

kumwepushia huyu mtoto adhabu kisaikolojia oa huyo mke wa ujana wako. hao dada zako wana mawenge tu huenda wamekataliwa na kaka za huyo binti. kwani kujing'ata nini bana. kwani mbona hakujing'ata ulipoanza mahusiano na hako kabinti. madada/wifi wengine sijui wakoje.

Sasa kwanini kichwa cha habari ni NIMUOE DADA YANGU? .....!???

Muoe tu!!!

Mkalishe huyo dada yako chini ujue tatizo lake nini kisha umjulishe kwamba sio kazi yake kukufanyia wewe maamuzi ya nani umuoe au usiomue.Aachane na majungu ahangaike nae kujipatia wake.

Inawezekana akawa na matatizo japo hamjui/hajijui...sijawahi kuona ndugu mwenye wivu mkali hivyo na ndugu yake wa jinsia tofauti mpaka kufikia kutoa vitisho vya kujidhuru ikiwa mwenzake atamuoa/olewa na fulani.

Pia jaribu kuangalia kama anamchukia msichana huyo tu au hata ukijaribu mwingine itakua hivyo hivyo.Kama ni msichana huyo tu chunguza kwanini anamchukia hivyo....ikiwa ni utoto tu unamsumbua mpotezee!!
Kwani kakosea nini na nyie acheni majungu, alimaanisha dada yake anavomwonea wivu anataka amwoe yeye?Chuo kikuu halaf unashindw hat kuandika tittle sahih? Sikuamin