- Thread starter
- #41
mengi lakini yanatoa picha halisiMaelezo mengi mpaka mtu uasahau ulianza na kigezo gani kukisoma
mengi lakini yanatoa picha halisiMaelezo mengi mpaka mtu uasahau ulianza na kigezo gani kukisoma
asanteB anafaa zaidi. Huyo A atamwacha jamaa solemba. Historia inaonesha alishawahi kumzingua na kupotezea katika mawasiliano. Pia hajaamua badop lini yupo tayari kuolewa. Ni ushgauri tu! lakini ningekuwa mimi ningemchukua B fasta.
sasa mbona ni balaaNdoa siokupenda au kupendwa ni kupendana maana ukipenda inaezekana ye asikupende na akikupenda ndo hivyo we hujampenda hio ndoa lazima iwe na shida maana mmoja hatajali hisia za mwenzie
napata concept yakoNakubali but nilitaka nianzie hapo kwanza.
Na kuhusu B kuDISCO,nilitaka kujua ingeweza kusaidia tabia.
Labda B chuoni hakuwa na Tabia nzuri na labda anaACT now.
kweli mkuuTutakupa ushauri, mawazo, uzoefu n.k, lakini mwisho wa siku wewe ndiye utafanya maamuzi.
Sikiliza silika yako (listen to your instincts), hata siku moja haidanganyi. Fanya maamuzi sahihi.
Love Does.
asanteFanya hima muoane na yule mnaependana, ili kuwe na love sharing..,
asanteMi naona A ana nafasi ya kubwa kuliko B. A anarekenishika kuliko B. Kwangu Mimi A namchukua
Unauwezo mdogo wa ku store informationMaelezo mengi mpaka mtu uasahau ulianza na kigezo gani kukisoma
Huyo A bado anachaguzi zake na siku hata ukikubali kuendelea naye kwa kuwa wewe unampenda sana anaweza kubali shingo upande lakini akawa bado yupo kwingine na Mwisho yakaja kukutokea haya....ushauri mzuri sana, asante
Ahahaha atakwambia kamuulize lecturerHuyo ambaye hayuko tayari kuolewa sasa na Hajui atakuwa lini tayari!??!?!?! Nahisi ampe jamaa ufafanuzi wa Why?
Huyu B aliyeDisco Mwaka wa Kwanza Pharmacy, Atow sababu why aliDisco????
Maana mmmh!
Nitarudi kuendelea.
HahahaahAhahaha atakwambia kamuulize lecturer
Sio uwezo mdogo ila ni namna jambo lilivyo na maelezo yake mengi yanamkanganyikoUnauwezo mdogo wa ku store information