E Original
Member
- Jan 10, 2012
- 38
- 3
Jamaa mmoja nilimukuta kasimama na my sister, wakati napita jamaa nikamsikia anamwambia dada "ako kajamaa kanalinga kisa kanachukua demu wa geti kali" wakati yeye kasimama na dada yangu. Nimufanye nini huyu jamaa?