Nimuache au nimsubiri

Nimuache au nimsubiri

mbuchii

Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
12
Reaction score
9
Hi!
Nimekuwa na mahusiano na huyu binti kwa mwaka na miezi nane sasa..To be honest nampenda sana...miezi mitatu iliyopita tulitokea kutokuelewana kati yangu na yeye baada ya yey kukuta sms nilizokuwa nachart na binti mwingine...tulikaa chini tukasolve,nikaomba msamaha ni kama everything become normal,nasema ni kama kwasababu hakuwa ka before baada ya kunisamehe...nikachukulia poa labda bado ana hasira na kilichotokea but maisha yakawa yanaendelea..tunaenda date,tuanaingea kawaida but kila nikitaka kudo nae anakuwa na sababu ya kuwa hayuko tayari ni keep wait coz kilichotokea eti kimemfanya hasiwe comfortable na mie but ananipenda sana so nisubiri tu soon atakuwa normal na.kurudi kama zamani...mwanaume nikasema poa ntasubiri coz nampenda..basi tukawa normal tu..anataka hichi nampa ,tunaenda date, tunacheka, tunafanya romance kidogo hata kama sio kihivyoo ilimladi tu niwait...juzi kati nikamwambia ya kuwa nammiss sana na kila nikiwa nae natamani tudo coz ni miezi miwili sasa hatujado but sio kwamba nataka leo ila nataka ajue tu hilo!
Akaniambia nisiofu yeye ni wangu soon mwezi huu takuwa okey so nitaenjoy....juzi kati kuna issue alikuwa anahitaji akaniomba na mimi bila hiana nikampa chambi ya kununulia hiyo issue..akasema asante ..
Jioni yake ananiambia anataka kuongea na mie kitu muhimu sana nikamwambia poa niamboee..akaniambia anajisikia vibaya sana kwamba kila kitu nachotaka nampa but yey anipi ninachotaka..nikamwambia unaana gani coz me i do so coz nakupenda sio ya sex..akaniambia hata kama bado anajisikia vibaya tu coz nanipenda but ikija swala la sex ajisikii sijui.kwnini...so ameomba ushauri kwa baadhi ya marafiki zake na ameona labda kanizoea sana na kaniona wa kawaida so naomba tuchukue break kama week mbili au mwezi bila.mawasiliaona yeyote baada ya hapo tumeet then to do afu tuone itakavyokuwa...nilishtuka sana nikamwambia unauhakika na huo ushauri wa.rafiki zako na je sio kwamba unataka kubreak up.na.mie?
akasema no siwezi coz nakupenda sana...
Mie nikamwambia kama unataka kubreak up na mie be open coz nakupenda lakini siwezi kukung'ang'ania...akasema sio hivyo basi tufnye week najua itakuwa ngumu but itanisaidiaaa....
Wakuu leo ni siku ya tatu kimya..no mawasiliaono na yeye...na tulikuwbaliana aniblock kila mahali ili nisimaccess kabisa kama anataka huo mpango wake uweze kufanya kazi na akafanya huvyoo.Moyo unaniambia niachane naye coz siamini katika hili jambo nahisi kama anatafuta corage ya kuniacha au kapata mwingine!
Ushauri wenu please na poleni na andiko lefuuu nimeshindwa kufupishaa...
N.B-ID mpya but mie mkongwe humuuu

UPDATE!
Binti jana kanitumia text ya salaam..nikamchuniaa ikafika jioni katuma text ndefuu etii analalamika kwamba najua ananipenda ndo maana namfanyia hivyoo..eti why nimchunie mda wote huo kimya..yeye alitaka kujua reaction yangu baada ya yeye kuniambia vile bado aikujibu lolotee....
Leo mchana kaja ofcn eti analia kabisa..simpendii yeye lifanya tu hivyo kunipima me sikujalibu hata kukataaa...Eti why sikukukataa...sababu aliniblock saa hiyo hiyo akaniunblock why sikumtext?

Me nilichomwambia ni kwamba nilimpa alichotaka...alitaka break mie nikampa so yey ndo wakujiblame sio mie....mwisho wa siku nikampoza kwamba kesho tutameet jioni baada ya kazi ili aondoke eneo la ofic sababu hata kama alikuwa kwenye gari bado kelele za kilio zilikuwa sinasikika.

Wakuu nimepanga na kuamua kuachana naye sababu week hii moja imekuwa ngumu sana na.naona ka huko mbele hatanisumbua na isitoshe bado siamini kama kweli hakuwa na mambo yake.

Naombeni ushauri je ntakuwa nimemuonea? nimempe nafasi?
 
Mmhhhhh pole sana ..sure wanawanake niwepesi wakupoteza shauku namtu pindi wanapogundua jambo baya kutoka kwako.

Labda niseme ,Akunyimae mbaazi kakupunguzia mashuzi.

Embu Fanya ivi ,,Fanya mambo yako ,,mchukulie km mshikaji ivi ,,yaan nawewe Fanya km hakupi shida .

Mwanamke akikuigizia kama mjane ... Nawewe muigizie km Mgane !!!.
 
Hi!
Nimekuwa na mahusiano na huyu binti kwa mwaka na miezi nane sasa..To be honest nampenda sana...miezi mitatu iliyopita tulitokea kutokuelewana kati yangu na yeye baada ya yey kukuta sms nilizokuwa nachart na binti mwingine...tulikaa chini tukasolve,nikaomba msamaha ni kama everything become normal,nasema ni kama kwasababu hakuwa ka before baada ya kunisamehe...nikachukulia poa labda bado ana hasira na kilichotokea but maisha yakawa yanaendelea..tunaenda date,tuanaingea kawaida but kila nikitaka kudo nae anakuwa na sababu ya kuwa hayuko tayari ni keep wait coz kilichotokea eti kimemfanya hasiwe comfortable na mie but ananipenda sana so nisubiri tu soon atakuwa normal na.kurudi kama zamani...mwanaume nikasema poa ntasubiri coz nampenda..basi tukawa normal tu..anataka hichi nampa ,tunaenda date, tunacheka, tunafanya romance kidogo hata kama sio kihivyoo ilimladi tu niwait...juzi kati nikamwambia ya kuwa nammiss sana na kila nikiwa nae natamani tudo coz ni miezi miwili sasa hatujado but sio kwamba nataka leo ila nataka ajue tu hilo!
Akaniambia nisiofu yeye ni wangu soon mwezi huu takuwa okey so nitaenjoy....juzi kati kuna issue alikuwa anahitaji akaniomba na mimi bila hiana nikampa chambi ya kununulia hiyo issue..akasema asante ..
Jioni yake ananiambia anataka kuongea na mie kitu muhimu sana nikamwambia poa niamboee..akaniambia anajisikia vibaya sana kwamba kila kitu nachotaka nampa but yey anipi ninachotaka..nikamwambia unaana gani coz me i do so coz nakupenda sio ya sex..akaniambia hata kama bado anajisikia vibaya tu coz nanipenda but ikija swala la sex ajisikii sijui.kwnini...so ameomba ushauri kwa baadhi ya marafiki zake na ameona labda kanizoea sana na kaniona wa kawaida so naomba tuchukue break kama week mbili au mwezi bila.mawasiliaona yeyote baada ya hapo tumeet then to do afu tuone itakavyokuwa...nilishtuka sana nikamwambia unauhakika na huo ushauri wa.rafiki zako na je sio kwamba unataka kubreak up.na.mie?
akasema no siwezi coz nakupenda sana...
Mie nikamwambia kama unataka kubreak up na mie be open coz nakupenda lakini siwezi kukung'ang'ania...akasema sio hivyo basi tufnye week najua itakuwa ngumu but itanisaidiaaa....
Wakuu leo ni siku ya tatu kimya..no mawasiliaono na yeye...na tulikuwbaliana aniblock kila mahali ili nisimaccess kabisa kama anataka huo mpango wake uweze kufanya kazi na akafanya huvyoo.Moyo unaniambia niachane naye coz siamini katika hili jambo nahisi kama anatafuta corage ya kuniacha au kapata mwingine!
Ushauri wenu please na poleni na andiko lefuuu nimeshindwa kufupishaa...
N.B-ID mpya but mie mkongwe humuuu
Hivi ni kweli kunakupendana kimapenzi au fantasy tu?
 
Mmmmh,
Kwanza unahitaji kujitambua kabla ya kuomba ushauri kuhusu huyo Binti .

maana wewe ndiyo chanzo cha hayo yote.

Laiti kama ungetulia basi ungekuwa na sababu nzuri za kumlaumu.

Ila hadi hapo, wewe tulia tu unyolewe; ukinyolewa kipara poa, ukipigwa panki safi na hata ukikatwa Kichwa itapendeza zaidi kwa 900.
 
Ujue kuna kitu kimoja ambacho sisi wakiumeni tunashindwa kukifaham juu ya psychology ya watoto wa kike, na mwisho wa siku emotional feelings zinakuja kutucontrol tunatoka kwenye uhalisia wa kiuanaume,... ivi ni kweli mtu akute sms za kuchat na mwanamke then akupe rikizo na kudai kuwa hayuko sawa ku do na ww coz of such tiny thing? Sasa kama feelings zake zimekata kwako bado unasema kuna love hapo? Why don't you think beyond the box?
 
Haaaaaaa mkuu unaleta ukamanda kwenye mapenzi
 
Ujue kuna kitu kimoja ambacho sisi wakiumeni tunashindwa kukifaham juu ya psychology ya watoto wa kike, na mwisho wa siku emotional feelings zinakuja kutucontrol tunatoka kwenye uhalisia wa kiuanaume,... ivi ni kweli mtu akute sms za kuchat na mwanamke then akupe rikizo na kudai kuwa hayuko sawa ku do na ww coz of such tiny thing? Sasa kama feelings zake zimekata kwako bado unasema kuna love hapo? Why don't you think beyond the box?
dah..mkuu ndo maana kuna forums kama hizi tunasaidiana mawazo...pamoja sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom