Habari za humu jf,
Nipo kimasomo hapa Dar es salaam ninaishi geto moja na mshikaji wangu yaani tumepanga pamoja kushare cost sasa yule jamaa yangu ana demu wake mmoja kisu kweli huwa anakuja pia pale geto.
Sasa siku moja alikuja geto hakumkuta mshikaji sasa katika kupiga stori za hapa na pale akawa ananiambia mpenzi wake yaani jamaa yangu hawezi shughuli i.e hamridhishi kitandani.
Sasa ninajiuliza ananiambia haya kwanini; au anataka nimtafune? ila jamaa akijua si ugomvi?
Sent from my iPhone using JamiiForums