Nimsaidie au Nimwache..

Mbona haueleweki unachotaka sasa,kama unamsaidia kwa upendo mara mpenz wako amekasirika,swali la msingi kwanini wewe umsaidie wakati mpenzi wake yupo? ni nini kinakufanya uone kama hasaidiki?
 

!
!
nimekuwa mgumu kuelewa na hili pia....ni kwamba ulikuwa unatoka nae mara moja moja kwa intensheni gani!?au kwa sababu hukupiga mzigo ndio unasema hakuwa demu wako!?.......maana kwa mbaaali naona jamaa alikuomba msamaha kwa kuwa ulitake advantage ya huyo jamaa yake kutojua kwa uhakika nini kinaendelea, na alibahatisha tu na ndio maana jamaa akakuomba msamaha. Unless hata mimi ningekumaindi utatokaje na demu wangu?tena bila mimi kujua and at the same time unamsaidia mambo madogo madogo?. Mimi naona ulikosea mkuu, na ni wewe ndiye uliyetakiwa kuomba msamaha
 
hivi kwanini mnaquote post ndefu ndefu? hamjui wengine humu tunatumia phillips s3?!!

by the way, wacha niendelee kumnyonya maziwa huyu nisepe kazini!!
 
ningekuwa mnafiki leo hii nisingepost hii thread.. Nimemsaidia kwa sababu anahitaji msaada, sijamsaidia kwa sababu mpenz wa rafiki yangu

eti? unasemaje?



hebu rudia tena?????????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…