Nimsaidiaje huyu mwenzangu?

Tatizo la vijana wa siku hizi mbona tatizo dogo hilo yaani harufu tu unapiga kelele,wengine ata akitoa kubwa ni shangwe tu hapo ndio naona game safi.
 
Labda kuna vitu huwa anatumia au lakin kupumua kwa mtindo huo jaribu kumchunguza na muulize kwann anatoa hewa chafu namna hiyo.
 
hukupaswa kuileta huku bro.....zungumza naye then hosptl....utapata ufumbuzi.....mabasha wanaipenda kweli hiyo hali...!!
 
Wewe mzushi tu huwezi acha mchezo kisa vijampo...
Sema humpendi tu au unapoteza hamu ya mapenzi sababu ya matatizo yako tu....
 
Kwani hapa kaweka hadharani ? Na Kama tatizo laitaji mtaalam unamalizanaje naye? Huyu hajataja jina la mtu.


Sijui kwanini, nikikuta kasoro kwa mwanamke siwezagi kuziweka hadharani zaidi ya kuongea nae yeye na kujua namna ya kumaliza tatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom