Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,410
- 3,548
Habari za weekend wakuu...
nimepata demu mpya tupo kwenye mahusiano miezi miwili sasa, mtoto mashalaah, sura ipo, rangi anayo, shepu ndio usiseme kwa kifupi mungu amemjaalia sana na hata tabia ametulia kwa ujumla.
sasa pamoja na sifa kemkem nilizozitaja hapo juu, kizuri hakikosi kasoro kwani mwenzangu huyu nashindwa kumuelewa linapokuja suala la gemu, kwani tunapokuwa faragha mchezo ukiwa umechanganya haswa, mwenzangu huyu huanza kuachia mabomu mfululizo tena yale ya nyuklia ( Anajamba mno tena kunakotukuka ) mbaya zaidi ushuzi wake huja na harufu mbaya mnoo yaani kama sio ujasiri na uvumilivu unaweza ukacha kuendelea na gemu.
Mwanzoni jambo hili nililichukulia kawaida ila sasa limenikifu kwani sina raha na gemu kila nikifikiria mchezo inanijia harufu ya mabomu. Wakuu nisaidieni jinsi ya kutatua tatizo la mwenzangu kwani nampenda sana na sipendi kumuacha...