Nimrudie tena huyu mpenzi?

Miaka miwili marafiki na msichana unayefikiria awe mkeo bado unasuasua tu?!!!!!!!

Kuna ugumu gani kufanya taratibu zinazotakikana ukaishi nae?

Kuna tatizo pahala si Burr

Ujue kuna sehemu nilienda nikakuta kuna mnara wa simu mmoja tu mtandao wa titisielo lakini network inasoma voda

Una kila sababu ya kuwaomba wazazi wako kadi yako ya kliniki ufuatilie mwenendo wa grafu umekaaje
Sikiliza bro sikuweza kumuoa na wala swala hilo lilikuwepo ila kilichokuwa kinanikwamisha nilikuwa bado naishi kwa mtu, so sahizi nimepanga geto langu akikaa mkao navuta ndani.
 
Nilishawahi kufanya ujinga kama huu wa kuchill na manzi 3 yrs(2016-2019) bila kugusa, kila ukiomba mzigo ooh subiri mpaka uniweke ndan mara subiri ntakupa punguza papara, finally nkaona ananpotezea muda tu nkamshit.

Now nmepata manzi mkali zaid yake sasahv mjamzito, mwakani tu hapo mapemaaa nakuwa dingii!.

SIPENDI UJINGA!
 
Miaka bee? Sukia dogo huyo Kuna mtu wake anayemgonga lkn hana uhakika Kama ataolewa naye. Kwahiyo wewe anakuzuga ni wife material ili ujingachanganye umuoe. Demu mwenye akili hawezi kukubania aka bee coz anajua utamcheat tuu.
NB; NIMEONGEA LUGHA YA KITOTO ILI KUFITI UMRI WAKO.
Duuuh mbona kama ukweli vile
 
Miaka 2 mechi bila bila😲😲😲
Huenda Kuna mtu anakusaidia kushea, ameishajua kucheza na akili zako...hizi habari za tuachane Mara kwa Mara ujue wewe ni waziada...
Kama unampenda na kumuamini endelea nae.
Mhhh tena, kumbe yaweza kuwa kweli maana ilifikia kipindi akawa mkimya mambo yake au changamoto zake nikimuuliza hataki kinambia
 
Nilishawahi kufanya ujinga kama huu wa kuchill na manzi 3 yrs(2016-2019) bila kugusa, kila ukiomba mzigo ooh subiri mpaka uniweke ndan mara subiri ntakupa punguza papara, finally nkaona ananpotezea muda tu nkamshit.

Now nmepata manzi mkali zaid yake sasahv mjamzito, mwakani tu hapo mapemaaa nakuwa dingii!.

SIPENDI UJINGA!
Goooooooooood
 
"mna mapenzi.......lakini hamawahi kufanya mapenzi" pumbafu sana wewe.......mjifunzage na PUNYETO.....akili itachangamka.....mikaka 2 unamchekea tuu........una tatizo wewe......jaribu besheni.....ukipiga double natakubali uko vema kwa umri wako......ukishindwa wewe mgonjwa.....dafuta dr.......
 
Wakuu habari za jf Bwana Yesu asifiwe, assaalam alykum wapendwa,, niwaombe tuzidi kuliombea taifa letu liwe na uchaguzi wa amani.

Bila kupoteza muda niingie kunako maada,, siku za nyuma nilileta kesi ya huyu binti humu aliyekuwa akinitishia tuachane na ni kama mara mbili amewahi nitishia tuachane, basi tunaachana baada ya siku anakuja kuniomba msamaha kwa alicho fanya.

Sasa tumeendelea na mapenzi yetu muda mrefu, kwa sasa yapata miaka 2 na ushee lakini hatujawahi kufanya mapenzi, kila nikimwabia anasema hadi nimuweke ndani yaami nimuoe,nimekaa nae kwa muda huo wote nimevumilia mashart yake,

Yeye kuhusu mizinga au vizawadi labda hadi nimpe mwenyewe kwa kupenda, kwakweli nimemchunguza ni kama binti ambaye ana mapenzi ya kweli kwa mabinti wote ambao nimekuwa nao na nilio wachunguza.

Na nimekuwa nikimwambia nahitaji nikakutamblishe kwa wazazi wangu yaani yupo radhi.

Kasheshe hii hapa.
Kuna binti hapa mtaani ambae ni kama rafiki yangu, timekuwa tukipiga nae story nyingi tu,lakini kwa huyu mpenzi wangu imekuwa kasheshe ananambia kuwa huyu rafiki ni mtu wangu na ninatembea nae kimapenzi,, nimejaribu kumuuaminisha lakini haelewi anazidi kunikazia tu kuwa nisikatae huyo ni mpenzi wangu.

Alianzisha dharau na maringo hadi nikahisi kashapata mtu mwingine maana unaweza kumwita lakini asiitikie na heshima kama mwanzo imeshuka sana, ananidharau.
Na ikafikia hatua nikamwambia we niweke wazi tu kama hunihitaji katika maisha yako,, anasema labda mimi nimuache ila siyo yeye.

Uzalendo ulinishinda wa kuvumilia zile dharau nikaamua kumtamukia,, "it's over "kila mtu ajue hamsini zake ,,alitoka kwa kasi nilipo mtamkia hivo nikawa nimeenda zangu.

Nimemuacha lakini naona ni binti mwenye msimamo na ambae naona harubuniwi kirahisi,, anafaa kuwa wife yupo tofauti sana na mabinti wengine ambao ukitaka kuweka ndani, labda hizo dharau alizileta alipo hisi nina mtu.

Na tulipo achana siku ya pili nilisikia maneno kwa jujuu kutoka kwa mke wa anko wangu kuwa binti anataka aombewe msamaha juu yangu ili turudiane..

Ushauri wakuu juu ya huyu binti vipi nifanye uamzi gani. Wakati huo nisha mtema?
Maana moyo unanituma kuwa huyu binti yupo vizuri japo kuna changamoto..
Aaah kula mzigo mzee ndo umrudie.tumia nafasi hiyo kumwambia akuoneshe kama anakupenda kweli ule mzigo lasivyo utabaki kuwa mpenzi mtazamaji.
 
Acha utoto yani unajitambulisha kabla hujakula mzigo,ndio mana tunaambiwa shake well b4 use
 
Back
Top Bottom