Nimrudie au nifanye nini?

Mtu akikuringia hamna kurudi nyuma wanarudigi na yao. Ila mwisho wa siku fuata moyo wako.
 
Usirudiane naye, huyo mshamba atakuwa alipagawa na life ya Chugga, atakuwa kachakazwa sana huku Chugga. Asije kukuambukiza zigo moja la UTI sugu ya The Hub
 
Hala hala Dear Ex, makabichiii mkuu unataka upashee??
 
nilikuwa nasoma report ya Mwakyembe leo hii, watu hawataki kukubali kuwa uwezo wao ni mdogo. Siku hizi kuna vyuo hata ukimuokota machinga ukampeleka chuo anapata degree bila shida. Sasa hawa ndo wanalalamikia kufelishwa kwakuwa wamezoea vya kunyonga! Na hao 10% walipitaje hata kama ni wachache?
 
Nakushauri waoe wote tia mimba wote utanishukuru badae
 
utoto raha sana. ninyi ndiyo wasomi wa kizazi hiki
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ashapigwa chini Sasa anatafuta loose Ball kama wewe
 
Akili kumkichwa acha kuendeshwa na mapenzi tafuta hela
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…