Wanaume tuko too consumed na male ego...it's sad but it is true.
Just imagine eti Nyani Ngabu anapewa mafunzo ya ndoa...what the hell....
Wanaume tuko too consumed na male ego...it's sad but it is true.
Just imagine eti Nyani Ngabu anapewa mafunzo ya ndoa...what the hell....
...ha ha ha, nakweli!
Btw, hivi kanisani yale mafunzo si ndio ya ndoa au?
...na kweli π mwanaume unajifunzia 'mitaani' tu...mtajuana huko mbele kwa mbele!
Hii ni hatari!...na kweli π mwanaume unajifunzia 'mitaani' tu...mtajuana huko mbele kwa mbele!
...nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.
Bora uwe mkweli tu NN!
Nadhani wanaume wengi wako na "open-mind" wanapoingia kwenye ndoa... kumbe you need to have some skills hata kama siyo za kila kitu ...lakini the basics.Kwa mfano mume hapaswi kumtishia mke ati asipopewa atatoka nje! Mke siyo mtumwa wa hilo tendo.
Kuna Mkuu Kwetunikwetu hapa JF kaweka kitabu fulani cha zamani sana...The Perfumed Garden" -This is a good resource book... I would recommend it to men and women.Kwa kweli kina mafundisho mazuri sana.
True..kutishiana hakufai for both couples. Hata mwanamke naye hatakiwi kuleta mgomo wa unyumba. La muhimu ni kushirikiana kama timu (work as a team). And don't be mean to each other. Don't say anything you can't take back.
Marriages are tough y'all and they are not for everybody.
WoS, majority ya wanaume hapa ni mid 20s to early 40s... do you think they have time to re-invent the wheel?! Rather late in my opinion. We're such old dogs...new tricks are tricky and arduous!"
This being mean thing..... I dont think men ever understand women on this.
Yes marriages are not for everyone.
...ha ha ha, mkuu unarudisha jezi mapeeema? fainali uzeeni! π
...
ingekuwa kila mwisho wa mwezi unabadilishwa jinsia kuchukua role ya mkeo...tarehe hizo ningekuwa natafuta safari huyooo..
...you know, even that magic blue pill don't seem to work to some!!
.
Kuna wazo limenipitia hapa, iwapo kesi hii ndio ingekuwa imemgeukia huyo braza,....yaani mke kila siku anataka, jamaa angekuwa keshaaga dunia!
....mmmh, naona wewe unaanza kumwongelea Da' Penny!!
ha ha haaa...π SteveD, mie simo!
tena haonekani siku hizi, sijui yamemkuta yepi?
...nadhani keshapigika chini na kuvimba juu!!