NIMR yagundua dawa ya UKIMWI, Tezi dume

NIMR yagundua dawa ya UKIMWI, Tezi dume

una kumbukumbu yoyote kuhusiana na dawa yoyote inayotumika sasa kuwahi kugunduliwa Tanzania ?
Mkuu dawa hii ni mitishamba, yaani dawa za asili/kienyeji na zipo nyingi tu. Kwa hiyo dawa za kienyeji kugunduliwa Tanzania si ajabu. CC Samunge.
 
chanzo habari leo!!!!spinning hiyo kututoa kwenye miswada kandamizi inayopelekwa kwa hati ya dharura...mambo ya samunge!!!!

Uhuru wa kujieleza. Kwenye hili jitahidi ulipokee kasha endelea na miswada. Vinginevyo afya ikiwa tete hata miswada haitakuwa na maana.
 
Kama dawa yenyewe haijawa tayari kuna uharaka gani kipindihiki?.Hayo si ndio mambo ya Samunge tena?

Maneno haya ni matamu kwa vila hatujaupata. Tungejua kuhangaika kwa waliokwisha ugua magonjwa haya bila shaka tungeshangilia ugunduzi huo.
 
Ya kutibu au kupunguza makali ya hayo magonjwa sugu?
Kama mwandishi hajakosea basi hii ni habari kubwa sana

Dawa za kupunguza makali za kienyeji zipo na NIMR kushirikiana na waganga kuzihakiki na kuzithibitisha ni jambo jema sana. Nadhani wengi huzitumia tu miaka yote. Ila kwa woga kiasi. Tunajua wahaya wana dawa maarufu za fertlity. Wamasai matumbo nk. Ni sifa sana kuwa na dawa asili ya tanzania!!
 
Ila namshukuru Mungu ile tabia yako chafu ya zamani umeiacha maana mhhh, mekumis my husband wangu

he he tabia gani hiyo, sasa hivi nimekuja na nyingine ileee kwa hisani ya watu wa Jamaika!
 
Back
Top Bottom