lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Taasisi ya taifi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu (NIMR) imepiga hatua zake na kuweza kupata dawa itayoweza kutibu magonjwa hatari ya UKIMWI,tezi dume,maleria na baadhi ya magonjwa nyemerezi.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi wake Dr.Mwele Malecela na kwamba NIMR ipo kwenye hatua za mwisho mwisho hili dawa hiyo ipatiwe jina na kuingizwa sokoni kwa matumizi ya binadamu.
Hatua hii itasaidia kupunguza maambukizi dhidi ya haya magonjwa hatari. karibuni jamvini.

Alisema miongoni mwa tafiti ambazo ziliwafanya wafanikiwe ni pamoja na utafiti wa majaribio ya chanjo ya ukimwi na malaria nchini.
Alisema katika utafiti wa chanjo ya ugonjwa wa Ukimwi, taasisi hiyo ilishiriki katika tathmini ya upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya na majaribio ya tiba ya virusi vya HSV-2(Herpes Simplex Virus2) katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
"Pia tulifanikiwa kupata dawa ya usugu ya kurefusha maisha kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi(VVU).
"Tulifanikiwa kufanya uchunguzi wa vimelea vya Ukimwi katika maziwa ya mama anayenyonyesha,"alisema.
Chanzo: Mtanzania