nimpotezee au NIPIGE?

nimpotezee au NIPIGE?

Yaah atuko kiboya na si tuna malengo yetu
 
Na wewe ulishawachakachua wangapi? au kwa sababu maumbile yako hayaruhusu kuonekana hilo kwa kushika ujauzito au kukatika kwa ule utepe ndo unataka kumkomoa mwenzako hivyo?

Inaonyesha huna mapenzi ya kweli na huyo dada, kuna baadhi ya vitu tu vilikutamanisha. Mwache aendelee na maisha yake aje apate atakaempenda na si kumdhihaki.

Tofautisha Mapenzi na Tamaa. They are completely and widely different

WAKUU leo imenibidi niingie chumba hiki kutafta msaada wa kmawazo . Mzigo wenyewe ni ivi kuna demu mmoja hapa kitaa nimetkea kumpenda ile mbaya nikaamua kumtupia nyavu
Nashkuru mola amenasa na moyo wangu ukaridhia awe wangu wa maisha ila inshu ni kuwa wakali washamchakachua na ana mtoto wa miaka 5.
Mnanishauri vpi wana jf niachane nae au nipige den nisepe
 
Hakuna haja ya kumtoa kasoro binti wa watu. Kama unaona hana sifa unazozitaka wewe ni bora umuache kuliko kumuanika JF.
 
Hakuna haja ya kumtoa kasoro binti wa watu. Kama unaona hana sifa unazozitaka wewe ni bora umuache kuliko kumuanika JF.
 
daaah tuna kazi kubwa sie mabinti tuliozaa af ni single ladies. Mungu atusaidie na atunusuru na hawa wagegedaji wasio na huruma. Km humpendi bora umuache tu mapema sio kumuongezea maumivu ya moyo. Atapendwa tu na mwingine atakaemkubali na mtoto wake.
Kweli kabisa nakuunga mkono!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom