Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
mi nakushauri hivii kajifunze kwanza lugha ndipo urudi.WAKUU leo imenibidi niingie chumba hiki kutafta msaada wa kmawazo . Mzigo wenyewe ni ivi kuna demu mmoja hapa kitaa nimetkea kumpenda ile mbaya nikaamua kumtupia nyavu
Nashkuru mola amenasa na moyo wangu ukaridhia awe wangu wa maisha ila inshu ni kuwa wakali washamchakachua na ana mtoto wa miaka 5.
Mnanishauri vpi wana jf niachane nae au nipige den nisepe