Nimpeleke wapi mpenzi X Mas Eve?

Nipo Mzizima ndugu yangu watu8

Basi mkuu hebu jimuvuzishe maeneo yafuatayo kwa haraka ndio ninayoyakumbuka...

Mamboz Restaurant...hapa huwa kuna kuku choma mida ya jioni hadi usiku hivi, ni pale makutano ya Libya na Morogoro Rd karibu na stendi ya zamani ya mabasi.

BBQ Village ipo mtaa wa Kimweri

Makumbusho opposite na Usalama wa Taifa au pembeni kidogo ya Digitek, kuna kiota pale cha kuku choma, mishikaki ya kuku,ng'ombe na zagazaga nyingine kibao...

Tabata kwa Mfojo...tena huyu ni Mnyaki mwenzako pale utakula minyama hadi usaze

Pia kuna Wapemba fulani wapo Mtaa wa Lumumba opposite na Mahakama ya Mwanzo pale Mnazi Mmoja pia si mbaya ukipita hapo...

Kaka kwa leo niishie hapo ila ukiona kisu hakiruhusu basi Coco Beach lazima kuhusike....
 
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/162918-mishikaki-kwa-mfojo.html
Basi mkuu hebu jimuvuzishe maeneo yafuatayo kwa haraka ndio ninayoyakumbuka...

Mamboz Restaurant...hapa huwa kuna kuku choma mida ya jioni hadi usiku hivi, ni pale makutano ya Libya na Morogoro Rd karibu na stendi ya zamani ya mabasi.

BBQ Village ipo mtaa wa Kimweri

Makumbusho opposite na Usalama wa Taifa au pembeni kidogo ya Digitek, kuna kiota pale cha kuku choma, mishikaki ya kuku,ng'ombe na zagazaga nyingine kibao...

Tabata kwa Mfojo...tena huyu ni Mnyaki mwenzako pale utakula minyama hadi usaze

Pia kuna Wapemba fulani wapo Mtaa wa Lumumba opposite na Mahakama ya Mwanzo pale Mnazi Mmoja pia si mbaya ukipita hapo...

Kaka kwa leo niishie hapo ila ukiona kisu hakiruhusu basi Coco Beach lazima kuhusike....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom