Nimpe kiasi gani kama shukrani?

Nimpe kiasi gani kama shukrani?

KazinjaTwo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2021
Posts
330
Reaction score
333
Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
 
kula naye mwana huyo,mzungu huyo mswahili angetaka kamisheni yake kabla hajakuunganisha na hiyo deal
 
Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Mpe laki 1 hyo ni sadaka.
 
Back
Top Bottom